Wana JF, na hasa wale wenye weledi na mambo ya ndoa.
Mke wangu niko naye miaka 3. Tuna mtoto 1 wa miaka 3. Nimemfungulia biashara nzuri, anaingiza pesa nzuri tu kwa siku. Usafiri nimempa wa...
Ndg zangu,
Sina maelezo ya kisayansi lakini kuna news nimezipata kutoka maeneo ya Kyela namna wanaume wanavyowadhibit wake zao wasitoke nje ya ndoa na kula uroda na wanaume wengine. Eti...
Wakubwa shikamoni, wenzangu habari za jioni. Mimi ni kijana ambaye natafuta mchumba ambaye mambo yakienda sawa nataraji awe mke. Katika mizunguko ya kusaka degree nilimuona binti wa 2nd year...
naomba kuuliza je ina maana yoyote
1. kuendelea kumpenda mtu ambaye anakudisrespect
2.ambaye una feel like he is using you
3.hajali maneno matendo anayofanya kama yanakuumiza hata kama...
Jamani inanishangaza, hii si mara ya kwanza kuliona na leo nimeamua kulivalia njuga. Jamani hebu liangalieni hili, utakuta mwanamke, mdada bado hakubahatika kuolewa na ukimfuatilia kwa undani...
Kumekua na matatizo mengi sana hiv sasa.ktk dunia hii yetu hv sasa.nazungumzia kwenye nyanza ya mahusiano ya mapenz na maisha kwa jumla.ndoa zinavurugika,mume kamwacha mke na mke kamwacha...
The greatest destroyer of peace is abortion because if a mother can kill her own child what is left for me to kill you and you to kill me? There is nothing between.
Happy moms day and be thankful...
A couple had an argument...
boy confess to his 2nd gf that she's no2, bf said, he couldn't leave no.1 bcoz 1st gf is dying bcoz of a hole in the heart, and asked to spend her remaining life with...
A woman who stalked Rio Ferdinand has been jailed and ordered to stay away from the Manchester United footballer for the next ten years.
Susanne Ibru, who was branded a predatory and...
Haya wana JF Mashoga wa mombasa wameamuwa kuwa wazi kwa kila anaewahitaji,hakuna kificho tena mambo hadharani,
je Dini zetu zinaruhusu haya?
kazi ipooooo ktk hii Dunia
Wakuu,
Kumekuwa na ubishani kati ya makundi mawili kuhusu mavazi wanayovaa wanawake. Kundi la kwanza linaunga mkono kwamba wanawake waachwe wavae kadri wanavyojisikia isipokuwa wanaume waache...
JAMANI YAMENIKUTA NA NAWAOMBA USHAURI, MASWALI KUNIULIZA RUKSA. NIMEHAMIA HAPA DODOMA TOKA MWEZI WA TATU, MWAKA HUU.
WAKATI NIKITAFUTA NYUMBA KUNA DADA MMOJA AMBAYE TUNAFANYA NAE KAZI PAMOJA...
Wanapewa mafunzo ya ndoa na mapenzi kwenye mikusanyiko inayoitwa "kitchen Parties". Katika mafunzo hayo wanaambiwa mambo ya mapenzi na hususan jinsi ya kufanya mambo fulani fulani na kuhusiana na...
Miaka huja na kupita, na tunafanya mambo mengi sana, mabaya na mazuri pia, ila Mungu na akutunze wewe na uzao wako na kuimbuka tarehe 9 may kwamba alitoa mtoto wa faida kwa Jamii ya watanzania na...
Mimi ni mschana wa miaka 24 nimeishi na mpenzi wangu nna miaka 3.tuna muda wa miezi mi nne hatuelewani.amekua na mambo mengi,kupiga simu mpaka niulize smtymz mara apitishe siku.mm kwa sasa niko...
....Nimeishi na dada yangu katika kipindi cha mwisho (last semmester) cha ujauzito mpaka alipojifungua mtoto wa kiume...mwenzenu sijui kwa nini,kumuona dada yangu anavyohangaika na mtoto limeniput...
Ni kawaida sana kwa wakina mama kutimbana na wakwe zao. Hii nimeiona live wakati nasoma sekondari, niliwahi kukaa kwa dada yangu ambaye mama mkwe wake alikuwa ni moto, na bahati mbaya shemeji...
Hello JF members
Hope you all have a lovely weekend.
Weekend hii nimekaa mahali nikawa nawaangalia baadhi ya watu na pia vituko vyao.
Niliona aina mbalimbali na watu wa rika tofauti. Kwa kweli...