Habari za asubui wanajamvi wenzangu?natumaini mupo powaa! Ningependa kueleza tukio dogo ambalo limetukia ivi majuzi ili liweze kutufunza sisi na jamii inayotuzunguka. Rafiki...
Hivi kwanini baadhi ya nyie akina dada anaua watoto mliowatafuta kwa starehe zenu? Mtu unajiachia mwenye tena bila kinga yoyote, then ukipata mimba unatoa, je hamjui kuwa hapo anafanya mauji ya...
Kupenda ni jambo muhimu
katika maisha ya
mwanadamu, kwa sababu
asilimia kubwa ya matendo
ya mtu huongozwa na
mapenzi. Miongoni mwetu kuna watu wanapenda
waume/wake zao, mali,
watoto, magari...
Ni swali najiuliza kuwa kama dada yako anajaribu kukuunganisha na rafiki yake
ukimkatalia inaonekana anajua taste zako na kuwa anakutakia mema? Ukimkatalia si uonaonekana humuamini? Inakuwaje...
Wengi husherehekea birth date zao kila zinapofika. Huwa hawajali kuwa wameupunguza mwaka wao mzima wa maisha yao huku pengine hakuna hata moja alilolifanya la maana la kujisifia hata yeye mwenyewe...
Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto.
Msiba huo umetokana na madhara ya mabomu yaliyotokea gongo la mboto.
Taarifa za...
Wa FJ nilikuwa sipo hapa nchini sasa nimerudi na nategemea kuwa nitakutana na wana JF hapa Moro nitakapokuwa nikiishi sasa naomba nikaribishwe. Ni kweli kuna siku nilisema ipo siku angalau...
Bwana mmoja mwenye tabia ya kubeba wake za watu huko Kimara juzi kati amefumwa akiwa na mke wa mtu.
Huyo bwana kachabangwa mabao na kumwagiwa mitusi mbele ya kadamnasi na mwanamke ambaye...
heshima kwenu jf!naomba mnisaidie kujinasua kwani kwa juhudi zangu nimeshindwa.mwenzenu nimejikuta nikiangukia ktk mtego wa mapenzi na mke wa m2 baada ya vishawishi vyake vya mda mrefu, hata...
nawasalim wote wa umri wangu, juu yangu na chini yangu. Jamani lisemwalo lipo na kama halipo wewe lingoje ck moja litakutokea. Wekend hii nikitokea mikoani kuja Dar tulikaa siti moja na dada wa...
Wanaume wa kabila moja la kanda ya ziwa (watani zangu) wengi wana sauti nyororo/nyembamba sana, japo wanalipa. Je unalijua hilo kabila? Na wanaume wenye sauti ndogo ni wanaume wenye tabia gani...
Najiuliza tu....how do people feel when they are facing this kind of situation..
Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa...
Huwa najiuliza hii kuwasakama watu wanafanya mapenzi ya jinsia moja wanasakwamwa kwa lipi!kama wao wanapenda na wahaingillii faragha ya mtu /watu wengine!
Kama ni dini mbona dini imekataza mambo...
WanaMMU,
Mi bado kuelewa kitu.
kwanini wanawake tu wavumilie matatizo ya wanaume ili hali mwanaume hawezi kuvumilia?
kwani sie wanawake ni mitambo ya kurekebisha tabia, kwamba nikivumilia...
Kuna hii tabia ya mabinti (hasa wa vyuo) unapomwita mmoja bar wanakuja watatu mpaka watano, halafu wakifika baada ya kuagiza vinywaji vya gharama (Redbull, Savanna, nk) hudai kwamba hawajala...
Marriage is good especially when its purpose is fully known and understood. These days the purpose of marriage is no longer known and women get married for all the wrong reasons. All of us wanna...
Wana JF-MMU!
Nitafurahi kama nitapata ushauri wa malezi ya mtoto wa kiume mwenye miaka 10.
Mimi ni single mama wa huyo kijana.
Swala ni kuhusu elimu ya mtoto huyo, ni kijana mwenye akili sana...