Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

A couple that has been married for 20 years were both recently diagnosed with diabetes. Findings later showed that they both contracted the disease as a result of the names they called each...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF nawasilimu wote. Kwanza samahanini maana hii najua haitawahusu wote maana hapa tupo watu wa dini na mitazamo tofauti. Jana nilienda kwenye mkutano wa Mwakasege na nilipata mafundisho...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Natumaini nyinyi ni wazima wa afya. Naombeni unitatulie ili jambo kwa kunisaidia kwani nina girl friend siku nne zilizopita kaniambia anaisi ana mimba ila mimi ninamashaka kwani ameniambia haoni...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Nashindwa kufanya maamuzi.nisaidieni mawazo.yanisaidie kufanya maamuzi. Nina wasichana 2,mmoja ni mchumba wangu,uchumba wetu una miaka 3 sasa,na tumetoa zaidi ya mahari.nilimpromisse kumuoa mwaka...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Ukistajaabu ya Musa utayaona ya .... Kuna jamaa huku Shinyanga amefumwa akinadi viungo vya mke wake baada ya kumchinja, amekutwa na kichwa, matiti pamoja na kikojoleo. Kibaya zaidi alikuwa ananadi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
ndugu zangu, nina hili suala ambalo linanitatiza sana, naomba ushauri wenu wa dhati. mimi ni mama (48yrs old), nimeolewa nina watoto watatu (22, 18, 16 yrs), naipenda familia yangu, zaidi sana...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
"Pale" aliponiuliza, miye niliona vibaya kutomjibu, na nilimjibu kwa namna yangu. Nilizidisha idadi ya wale niliowahi tembea nao mara mbili ili kumwona kama atavumilia na kuhimili kishindo cha...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Je umesha wahi kupewa cheo kazini kwa walioajiriwa? Ukipewa cheo kazini inakua kama vile ndiochanzo cha kutengana na wenzio. Ukiwakuta wanapiga story na ukijiunga nao (wakati wa lunch time kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mambo vipi wana JF??!! Mimi nina Girlfriend wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni kametokea kabinti mtaani kwetu kananizimika sana kiasi kwamba kameshindwa kuficha hisia zake kwangu! Tatizo...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
  • Closed
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari Wapendwa. Nahitaji jinsi ya kumwambia huyu binti ili aelewe lakini sijui nitamwambiaje?msaada tafadhali. Yuko kwenye ndoa anatimiza mwaka wa tatu sasa.ila kabla alikuwa akiishi na huyo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari zenu wandugu wa jf! Juzi boss we2 kamfukuza mfanyakazi mwenze2 kazi ni sawa? Kwa kifupi huyu mfanyakazi alimpigia sm mume wa mwenzake wanaofanya kazi secta 1 ofis 1 na kumwambia kwamba et...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
mve to jukwaa la wakubwa Masharti na vigezo kuzingatiwa USISOME KAMA UKO CHINI YA MIAKA 18
1 Reactions
13 Replies
14K Views
Jamani kwenye birthday yangu 14/3/2011 moja kati ya zawadi nilizo pewa ni inaitwa halwa!!!! Noamba anaejua inasaidia nini maana huwa naisikia kwa watu wa pwani na sijui ni nani alinipa maana ni...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Ukistaajabu ya Musa, utashangaa ya Firauni. Shemeji yaangu mwenye Umri wa miaka 28 ambaye amekuwa kwenye ndoa ya miaka 5 na kakaangu, hivi majuzi amemtoroka mumewe, bintiye wa miaka miwili na hata...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
my take: Mazoezi ni kitu muhimu sana kwa afya yako na kwa body structure ya kuvutia.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Unampenzi wako lakini inatoke hapo alipo mpenzi wako unamwona ndugu yake wa kike lakini kimtazamo unamwona wakuchukulika kirahisi kutokana na vitamaa vya vitu vidogo,mara anakwambia shemu simu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natamani kujua haya inakuaje inakua hv mwingine anasema handsome mwingne huna hadhi? Ina maana huyu anaesema handsome haoni?au ndo kapenda haoni upofu anasema ni chongo?na yule anaedai cna hadhi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndoa au Mahusiano Yoyote ya Kimapenzi ni mfano wa Bank Account tulizonazo. Unapopata mwenzi wako ni kama vile umefungua Bank Account na katika kuendelea na maisha au relationship kila siku...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
mke wangu akifanya kosa,.hapendi kuambiwa,nikimwambia ananuna wiki nzima,nikicheki simu zake nakuta msg za mamake akimpa pole na ushauri kana kwamba nimekosea kumwambia makosa yake,tena pasipo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…