Habari zenu wadau!
Kuna Dada mmoja nilisoma nae chuoni nikawa nampenda sana,nikamtongoza ila akadai anahitaji muda ili aamue,baada ya muda akaniambia kuwa anahitaji muda zaidi ili amalizie...
Wadau poleni kwa majukumu. Bila kupoteza muda napenda kuwaomba ushauri wenu kuhusu muda muafaka wa wapenzi wawili kuwa katika uchumba.Nina umri wa miaka 27. Nipo katika kipindi kigumu mimi na...
Kwa kweli ni mgeni kwenye safu hii ya JF, lakini naomba ushari.
Kuna msichana tulikubaliana kuoana, tumeshatambulishana na nimemchumbia tayari, kwa bahati nikapata safari ya ughaibuni hafla...
Jamani hii ni habari ya kweli na inanisumbua moyo sana,nimeolewa na bwana mmoja wa kiarabu miaka 20 iliyopita,huyo bwana ana mke wake wa kiarabu aliyezaa naye watoto 6 ila mimi...
Habar zenyu wanathnker ninaomba mnisaidie jaman ninarafik yangu wa karbu anaumri 30 na anauwezo na kila ki2 na ananisaidia katka biashara zangu. Mara ya mwisho baada ya kuona hana jins akaniambia...
Kweli uswahilini kuna mambo,juzi umeme ulikatika c mnajua 2po kwenye mgao,sasa kipindi wanachakachuana demu akawa anapiga kelele na pia KUMSALIMIA MSHIKAJI WAKE SHIKAMOO!SHIKAMOO!SHIKAMOO!yaani...
Kuna jamaa yangu amenisimulia kisa kinachomuhusu yeye na demu wake,mshikaji yeye ana kaa kwao yaani bado yupo kwa wazazi ila demu wake anafanya kazi na amepanga chumba,tatizo ni kuwa mshikaji...
Ladies! Tuseme umepewa options hizo Mbili tu,ni Mume au Mwanaume gani utachagua kwenye hizo vice mbili kati ya Womaniser au Alcoholic?
NB: weekend imeanza,any plan?
Ninachowaomba wana JF Wakristu ni kujitahidi katika mfungo huu unaoanza leo kuishi maisha yanayo mpendeza Mungu. Ingawa twapashwa kuishi maisha ya utauwa kila siku, udhaifu wetu hutuvuta kutenda...
Marafiki ni sehemu muhimu sana kwenye maisha ya kila mmoja wetu.Kila siku tunashauriana ishu za mapenzi..tunapeana tahadhari na kushauriana pia kufarijiana ila nadhani swala la urafiki hatulipi...
Jana nilibahatika kusikiliza kipindi cha daladala, moja mada ilizunguzia juu ya upendo wa wazazi kwa watoto, Wengi walichangia kwa namna tofauti na kunawengine ambao walidiriki kusema kuwa...
A FUNDAMENTALIST church pastor had sex with two of his teenage daughters to educate them on how to be good wives, a South Australian court has heard.
The 54-year-old man, who cannot be named, was...
Nitangulize shukrani kwa mwenyezi mungu kutuweka hai; nilipotelea maporini na miji mbalimbali ya nchini na kwa majirani zetu wa afrika mashariki! Niliwamiss kiukweli na ninafuraha nimerejea...
Yawezekana ni mmoja wa waliongia kwenye kitanzi cha maisha ya ndoa takatifuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
yenye shida na raha ndani yake la hasha pole sana ..yawezekana na wewe nn mmoja wale walio kwenye...
Kwa huu ulimwengu wa usawa, kuna marais wanawake na watakuja wengi tu miaka inavyokwenda
Kwa sasa tuna "First Ladies" na wanatanua kweli kweli kwa mamlaka ya waume zao wenye mamlaka, lakini...
Kuna rafiki ambaye at one tym alinisaidia na makao kwa muda wa mwezi moja and I feel indebted to her for how she assisted me.Anaolewa next month lakini as much as I want to be there circumstances...