Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimekuwa na hili swali kwa muda mrefu sana. Najiuliza "Hivi kwanini napenda sana kubembelezwa"???? NA kubembeleza???? Mwanzoni Husband alikuwa anashindwa ila siku hizi ha kila mara anafanya...
0 Reactions
96 Replies
6K Views
Baada ya kuwasikia Not Enough,Kokudo na Gbollin kama mdau wa jukwaa hili napendekeza wote wenye malalamiko kuhusu jukwaa letu au wadau wa jukwaa hili wawe wamewakilisha madai yao kabla ya mwisho...
0 Reactions
92 Replies
6K Views
Wandugu, Leo nimeipata stori ambayo imeniacha mdomo wazi mpaka napoandika thread hii. Eti enzi zile jamaa wa kihaya akioa mke na bahati mbaya au nzuri akisafiri, wadogo zake wa tumbo moja...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Girl you know we belong together I have no time for you to be playing With my heart like this You'll be mine forever baby, you just see We belong together And you that I'm right Why do you...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hata hivo hata mi sina hakika kama sivunji sheria kwa kupredict kuwa hii thread ambayo Dena alianika private msg hadharani ndiyo imemfanya apigwe ban. Kama nakosea, nawaomba sana mods...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Haya si maneno yangu ila nimeleta hapa wana jamvi muyaone na kuyajadili. 7. They know how to treat a woman I'm not just talking about being polite, holding the car door open, waiting by the door...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Waweke picha. Tena zionyeshe pande zote, mbele nyuma, kwa pembeni. Kwenye hiyo picha isiwe umefanya make-up (wadada sanasana), na picha ziwe recent - not more than one month tangia zimepigwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natumai mko alright, Jamani hebu tujadiliane, mdada anakubali kuolewa na mkaka au mkaka anakubali kumuoa mdada shauri ya huruma. Hebu niambieni hatma ya maisha haya. Nisaidieni....
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Hello wana JF, Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana. Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa. Msomi Miaka awe btn 30-38 Rangi-any Kabila- any...
0 Reactions
175 Replies
11K Views
Ni handsome wa ukweli ,msomi na ana kazi nzuri tu Lakini sijajua nia na lengo lake kwa kina dada .(kuwakanyagisha miwaya or? Kanunua engagement ring nzuri sana na ya thamani kubwa ......... Tabia...
0 Reactions
98 Replies
7K Views
Source: Yahoo friends Where do you fall? TYPES OF HUSBAND THEIR CHARACTER TRAITS 1 Bachelor Husband These are men who Love to do things on their own without consulting their wives...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hapo zamani kabla na baada ya mwalimu na hata wakati wa mwinyi ilikuwa mtoto akizaliwa mvua inanyesha anaitwa "mwamvua" akitanguliza miguu wakati wa kuzaliwa ataitwa "sikitu" akizaliwa ijumaa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani hvi vi2 vyote vya nini?wakati umetoka home tayari ushajipodoa? Kioo Poda Wanja Lips shine Lips stik Handchef Lotion Ch**i Kanga Wembe Pedi Kitana Je vyote hv vya nini jamani...
0 Reactions
153 Replies
13K Views
Kwa wale waliooa au hata wale ambao wanatarajia kuoa au kuolewa karibuni hebu nijuzeni kama huyo mwenzi wako umemuoa/kakuoa kwa kuwa mnapendana au ni kwa kuwa amekuonea huruma tu kwani akikuacha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajf salaam kuna wimbi kubwa sana la utoaji mimba linaongezeka kwa fujo tatizo ni nini au tumekosea wap? kuna rafiki yangu ni doctor maeneo ya kijitonyama/mwananyamala ananiambia kwa siku lazima...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
katika pitapita zangu nilikutana na mrembo mmoja na katika mazungumzo aliniuliza swali lifuatalo ambalo liliniacha mdomo wazi na kukosa jibu sahihi la kumpa:- swali lenyewe ni... Hey!! I have...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WanaJF nimeonelea nianze na hii title ili nieleweke vizuri. Kwa wanomjua rais wa Libya anataka wanaompinga wauwawe ama kufungwa maisha na pia kawaita ni mende(komba mwiko),walevi,wavuta...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, Sijui kama ni mimi tu au na ninyi yanawapata, utafiti wangu unaonyesha wadada wengi wa hapa jf ni wagumu sana wa kugonga thankx kwenye thread zinazopostiwa na mimi hapa jamvini, uwa...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
WanaJF kuna ukweli gani juu ya hili, kwamba vyakula vya boarding schools huwa vinawekwa mafuta ya taa ili kupunguza hamu ya ngono kwa wanafunzi. Je, mafuta haya ya taa hayana athari za kiafya kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…