Katika purukushani zangu mitaani nimekumbana na hawa jamaa.
Wanaongoza sana kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana/wanawake;-
Vinyozi hawa wanawanasa sana mabinti kwa mapowder na...
:msela::msela:Kuna jambo limetokea hapa mtaani kwetu jana. Kuna kijana mmoja ambaye kwa kweli alikuwa anajulikana kama mtu wa vimwana sana, ikafika wakati akataka kumwoa tena kwa ndoa mtoto wa...
Hivi kwanini mwanamke akimuuliza mwanaume je una mtu huwa anajibu haraka kuwa niko singo, nilisha achwa na yule niliyekuwa naye na sasa niko peke yangu hata kama nyumbani ana mke na pembeni ana...
Kuna dem1 mara nyingi huwa tunakutana, wakati
naanza kumchakachua huwa namuomba avue msaraba,lakini yeye hukataa katakata,mimi nakuwa sina jinsi naendelea na uchakachuaji huku nikiukodolea...
Nina jirani yangu amekuwa kero sana kuelekea hiki kipindi cha watu wapendanao.
Vioja na vituko anavyo nifanyia imekuwa too much sijui ananilingishia? Kila siku anabadili wanawake kila sample...
Wanna share this with you friends:
Never Judge Anyone By Appearance.
One beautiful spring day a red rose blossomed in a forest. Many kinds of trees and plants grew there. As the rose looked...
Nilimpenda sana,nikachukua muda mrefu kumwambia ukweli,nilipoenda nikakuta kuna aliyechukua muda mfupi kumchunguza na kumwambia ameshampata.......no way anaweza kujua ukweli ulio moyoni...
Ni mke mwema aliyetulia na kutekeleza vema majukumu yake ya ndoa. Tatizo lake anaposafiri kwenda nyumbani hawezi kupiga simu wala kutuma message mpaka atafutwe. Licha ya kulalamikiwa mara kadhaa...
Tukio la hivi karibuni mtaani kwetu ambapo jamaa mmoja alimfumania wife wake 'akimega mkate' na kijana mmoja kinyozi limekuwa ni muendelezo wa matukio ya wake za waume wenye ajira nzuri, pesa na...
Nimepitia maoni ya wana-JF wengi humu na kubaini kuna kiu kubwa ya forum ya matchmaker.....................wako wengi wanataka uchumba au urafiki lakini wanajimungunya humu kwa kukosa forum sahihi...
Nimejikuta najiuliza kitu ikabidi niwaulize na nyie dadaz n kakaz!!!
Hivi mtu anapomwambia mwenzake 'we huendani na mimi....mimi huniwezi wewe...mi sio saizi yako' na mengine kama hayo huwa...
Mimi ni wakati wowote tu nikijisia namwambia mwenzagu na libeneke linaendelea kama kawa. Lakini kuna wataalam wanasema upo muda wake muafaka. Wengine mnasemaje?
siku nyingi hiki kitu nakiona sikupata pakusemea wacha leo nikiseme.....
watu wanadai eti valentine day si lazima umpe zawadi mpenzi wako eti hata dada, kaka, mama au baba?...... Mbona uongo...
Try it guys!
Nani amewahi kuguswa na penzi la kweli la mwanamke? Hebu jitokeze useme tukupatie zawadi yako maana mijadala mingi imezidi kuponda mahusiano.Unachotakiwa kufanya ni kutuambia kwa...
Mkeo umemuoa akiwa tayari ana mtoto,na ukakubali kumuhudumia mtoto kwa mahitaji yake yote,lakini inakuja kwamba bado anawasiliana mara kwa mara na mwanaume aliyezaa nae kwa namba nyingine...
Wanawake ndo chanzo kikubwa cha wanaume zetu kufanya mapenzi nje. Sababu wanawake wengi wanajifanya hawapendi kufanya mapenzi kitu ambacho si kweli. Wanawake wanapenda sana kufanya mapenzi ila...