Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

W: wants O: one M: Man E: every N: night
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Mwenzenu nilikuwa na boyfriend, uhusiano wetu ulidumu kama mwaka mmoja hivi, baadae akaniambia tuyaweke mapenzi pembeni na tuwe marafiki wa kawaida tu, kwa kuwa nilimpenda sana...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Nina jamaa yangu ambaye sera yake ni kufanya mapenzi na housegirl wake. Hoja yake ni kuwa house girl ni spare tyre zuri. Halafu anapata munkari kuona anamwibia mkewe mle mle ndani ya nyumba na...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Wana JF nisaidieni kuna Demu nimelala nae mwezi wa 5 tarehe 28. harafu mwezi wa 12 ananiambia amejifungua mtoto wangu. Hapo nikipiga hesabu ya miezi naona haifiki 9 kabisa.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Tulikuwa tunapiga soga wakati wa kuukaribisha mwaka mpya; moja ya hoja iliyotolewa ilikuwa ni suala la mmoja wetu ambaye alisema kuwa "lazima mke wangu awe msomi bwana, mimi mambo ya kuoa wa...
0 Reactions
71 Replies
11K Views
Wana JF Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Niambieni, ipi avatar gani inakuacha hoi? Aliyelala chali ni Preta na anayekonyeza ni Rose. Mimi zote tamu.
0 Reactions
105 Replies
7K Views
Nilianza urafiki naye akiwa darasa la saba, akamaliza form four hakutaka kunipa kwa minajiri eti hataki mpaka amalize form six, nikavumilia kwa vile nilimpenda sana, nikaomba tena mchezo akiwa...
0 Reactions
197 Replies
12K Views
Kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu! Wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!Natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa JF..yani mambo yote...
0 Reactions
283 Replies
17K Views
Tafadhali sana wapendwa ningependa kama kuna mwenye kuujua ukweli wa nitakachoandika hapa anisaidie nipate kuujua. Habari ni kwamba, nimepata kusikia mara kadhaa kwamba unaweza kujua size ya nyeti...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Kuna jambo huwa najiuliza kila siku niwaonapo hawa DADA zangu wanofanya biashara ndogondogo kama kuuza KARANGA, PIPI, NDIZI, MAJI, SIGARA n.k Utawakuta Wamejipodoa sana (CREAM), NYWELE zimepitia...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna dada mmoja ni mwalimu, nina uhusiano nae wa kimapenzi kama miaka 3 mpaka sasa. Kiumri kanizidi miaka 2. Alinipenda nikampenda, hakuwa na tamaa na chochote.. Na nilimpata ktk mazngra ya mimi...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
'Hi sweety whats up!!!!!!! wanted to buy you somethin but was afraid if ya wud like it???????...what should i buy you??.............message ndio imesema hivyo,..............nimeshindwa kujua...
0 Reactions
60 Replies
4K Views
"Hapa na pale, vuta ni nivutike, ilikuwa pata shika, jamaa aliamua angalau na yeye aweke kumbukumbu katika maisha yake ya upweke kwa kuanza na familia. Masaa yalipokaribia, kijana alijituma kwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mimi ni mdanganyika (oohps sorry i meant mtanganyika) niaishi Tanga nina miaka 32. Nina girlfriend wa mzungu wa kimarekani ana miaka 39, uhusiano wetu ni wa miaka 6 sasa, kwa mwaka tunakutana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Utafanyaje utakapogundua ya kuwa mkeo kumbe ni msagaji.....utamvumilia............utamkanya.........utamwacha.................Hebu soma hii hadithi hapo chini................ When 'the other...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
:mad2: The woman in your life may give you her heart, soul and, of course, her body, but still there’s a part of her being that she’ll never share with you ... stuff that makes her a mystery ...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mke WA RAFIKI YANGU KAJA KULALAMIKA KUWA KAMUULIZA MMEWE "MBONA KILA SIKU UNARUDI NANE TISA USIKU "KWA NINI? JAMAA KAJIBU SI USHUKURU NARUDI! NIMESHINDWA LA KUMSHAURI WANANDOA PLEASE...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Sex lowers blood pressure and reduces overall stress, according to Scottish research. Sex keeps colds away. Having sex once or twice a week has been linked with higher levels of an antibody...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
I hope hamjambo wajameni! kuna hiki kipndi cha ala za roho cha clouds fm kinachorushwa usiku, sina hakika kama ni kila siku, mbona mimi naona kama jamaa wanvuka mipaka, maana hata kama nia ni...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…