Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jamani tumevamiwa mnaonje ndoa za sasaivi?kuna love?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndoa nayo ni kazi kama kazi nyingine, Inahitaji commitment ili Upendo, Uaminifu na Amani viweze kuwepo. Lasivyo Inabakia kujilaumu na kuiona Ndoa Chungu. EVERY relationship has a cycle. In the...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mtazamo tu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mwanaumme huyu yeye alielewa anajifurahisha tu kwa usiku huo mmoja wa matanuzi.........................kumbe kwa mwanadada huyu yeye aliona huo ulikuwa ni mwanzo wa penzi la...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Mademu wa siku hizi hawawezi kutengeneza kashimo/kitobo ardhini wakati wa kukojoa. Hivi kwanini wazamani walikua wanaweza?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ktk mahusiano ya kimapenzi ni yupi anatakiwa kuwa mstari wa mbele ktk swala zima la mawasiliano yaani kumkumbuka mwenzi iwe ktk kupiga simu au kutuma sms. Make zipo kesi nyingi kila mmoja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
...Hivi, ni Kwanini? Mbona kina dada/kina mama wengi wanamatatizo sana kimahusiano na 'mama mkwe?' ---Shida ni nini?--- Mbinu gani mbadala/muafaka huchukuliwa kusuluhisha/kuepusha gogoro hili la...
0 Reactions
96 Replies
8K Views
Jamani wana Mjengo wa Jf Kati ya demu wa Kinyarwanda au Mkenya wa Mombassa ungechagua kuelekeza majeshi pande ipi ikiwa wote wana sifa za uzuri na mamejaaliwa kisawa sawa? Kuna rafiki yangu yuko...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ukiondoa Binadamu( Homo sapiens) kuna jamii yeyote ya species katika kundi la wanyama aina ya mamalia katika mahusiano linauwezo wa kujihusisha na Ushoga au usagaji.? I mean kuna species...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna siku nilielezea jinsi jamaa alivyo pigwa marufuku na mke wake kushika simu yake na alimwambia akishika ataipasua hiyo simu,sasa jana jamaa kaja tena na malalamiko mengingine, anasema ilikuwa...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Fatigue saps sex drive
0 Reactions
16 Replies
7K Views
One young academically excellent person went to apply for a managerial position in a big company. He passed the first interview, the director did the last interview, made the last decision...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Plz, wana jf" rafiki ana girlfrend, binti huyo anapokuwa naye hamwoneshi mapenzi (her feellings to him) but anapokuwa na marafiki zake huwapa story kuhusu boyfrend wake na kuonesha kuwa anampenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kikao wapi jamani... mbona kimya mwenyekiti vipi
0 Reactions
96 Replies
6K Views
Waheshimiwa wana JF wa mikoa ya TANGA, MWANZA,ARUSHA,ZANZIBAR NA MBEYA mimi ni mgeni wenu NITAONDOKA hapa DAR ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa nitakuwa KATIKA anga zenu. 1.ni mgeni kwelikweli na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
For all the friends that you may know who'd love to know how much you really care. What better way to say it? For all the times I needed you And you were there for me For all the...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndoa/Mahusiano ya wakati huu kusema kweli yamekuwa magumu kuliko yale ya enzi za wazee wetu (at least ndivyo ninavyoamini mimi). Hali hii imenifanya niwe nawaza kwa mtindo wa what if angekuwa vile...
0 Reactions
80 Replies
6K Views
Haya wanaJF, niliwahi ulizwa hili swali na bibie mmoja aliyekuwa amekosana na BF wake. Kutokana na maelezo yake inaelekea yeye bibie ndio alikuwa mkosaji. Kitendo kilichompelekea BF kununa. Baada...
0 Reactions
130 Replies
13K Views
A Wife is Dreaming in the middle of the night, and suddenly shouts " Wake up..........Wake up, my husband is back!" The man on the bed with her got up, jumped thru the window, broke his legs...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni kwanini kwenye mahusiano wanawake ndo wanaongoza kusababisha mume kukosana na ndugu zake,wazazi , rafiki au mume kutowajali tena ndugu zake na wazazi wake pindi Wanapoowa au hta kabla ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…