Corinne Hofmann spotted her Masai warrior on a ferry headed for Mombasa in Kenya. On holiday with her boyfriend in 1987, she could not take her eyes off the beautiful stranger wearing a loincloth...
Wakuu,
Kadiri siku zinavyokwenda ndivyo idadi ya watumiaji na watembeleaji wa mtandao huu wanavyoongezeka. Tungependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo kadhaa ambayo watumiaji wa mtandao huu...
Wakuu
Hii nimeona niilete humu ili tuijadili!
Kuna mdada mmoja jamaa yake ni rafiki yangu! Wanaishi pamoja ingawa hawajafunga ndoa kiutaratibu ila wapo mbioni! Sasa imekuwa kila lunch time anataka...
Ni dada wa 28 years yuko na mmewe miaka miwili ya ndoa sasa ..lakini tabia za mmewe zimekuwa kero kwake.
Mwanamme amekuwa na tabia ya kupekuwa pekuwa jikoni makabati ,chumbani yeye akikaa ndani...
Wengi wamekuwa wakiuliza mambo kadha wa kadha. Hatuwezi kuweka topic hizo kila mara, tafadhali unaombwa kusoma topic hizi mara kwa mara:
JamiiForums Rules
How to use JamiiForums effectively...
Nimeipata hii nikaamua niwashirikishe!
............men wants 3 qualities in wives;economic in kitchen,artist in home & devil in bed
bt they get;artist in kitchen,devil in home & economist in bed
Yaani mmeishi na Mmeo/Mkeo, GF/BF wako kwa muda mrefu tu!
Baadae Mwenzio anaanza kukusisitiza uvae nguo zake za undani! au muwe mna badilishana leo unavaa yake na mwenzio anavaa yako! Hili ni...
Salaaamu wakulu!
Yaani mke kaingiwa na imani ya dini ajabu! Basi kila siku 1 ya juma anaenda kushinda kwenye mkesha kanisani! Tena unakuta ni mwisho wa juma ambapo unamuhitaji sana hasa kwa...
Ndugu wana JF,
Tunasikitika kuwataarifu kuwa mwenzetu Lunyungu ambaye ni JF member, anaugua mno, hawezi kusimama wala kukaa, anaishi kwenye wheelchair.
His lower disc has been compressed ,ana...
Mmemegana na binti kwa mara ya kwanza, hujatumia kondom.
Muda wote wote wa tukio anatoa ushirikiano ile mbaya,
mkimaliza shughuli ndio anauliza "Tumefanya bila kondom, nikipata mimba je?"
Yaani...
Mjane mdgo akifiliwa anafaa aolewe
mjane asiefikisha miaka 60 sharti awe na mwenzie wa kumliwaza
yawezekana we ni katka hawa walio chini ya miaka 60 sio maneno yangu ni neno la bwana mungu...
Jamani nimenuswa leo .hivi nyie huwa mnanuswa na wenzi wenu kuhakiki kwamba hujafanya majamboz tofauti na mwenzio? Yaani imenishangaza sana! Kwani kuna kukariri harufu ya mwenzi wako tofauti na...
Unakuta mkeo anapigiwa pasi na HG nguo zake za kwenda kazini na mwanaume unajipigia pasi mwenyewe na ukimpa HG akupigie ni ugomvi na ukimwambia mkeo akupigie anakuambia anajisikia uchovu.... hapo...
"Niko njia panda naomba ushauri jamani. Nilikuwa na rafiki wa kiume ambae kwa sasa siko nae, kisa ni siku moja alikuja kwangu kunitembelea akaondoka kwa minajili kuwa aenda kwa kikao cha harusi...