Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wazo zuri nimeona ndoa nyingi kuna hali ya kuogopana kuogeshana na leo hii nimeona niwwaletee hii mada ya matatizo yake kuna watuwengi wanakuwa wakijikuna kwenye ukuta ama wa nyumbani ama...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi nafikiri wakati mwingine ni bora kila mtu kabla hujaanza kuingia kwenye mapenzi na mtu ni bora kujua kwamba, masuala ya kugombana na kupata maudhi kwenye mapenzi ni mambo ya...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wadau hii imekaaje, mambo ya fweza au?
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Kuna kitu kinanichanganya sana, hakinihusu mimi lakini kinawahusu watu muhimu sana kwangu, nina marafiki wawili, na ni wamama wenye familia zao na nimajirani zangu, ss mmoja kati yako anatembea...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Jamani mimi sielewi nimpeje mwenza wangu alizike kwa kawaida kiafya mapenzi yafanywe mara ngapi kwa wik maana naskia kukinai mapema hapa nilipo nipo hoi najikanda maji moto kila siku ndo nafuu...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Mke na mume waliobarikiwa kuwa na mtoto mmoja mdogo walipendana sana na daima walitaka kudhihirisha upendo wao kwa watu ikiwa ni pamoja na kushikana mikono, kuitana majina matamu kama "honey...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zanguni kila nkifikiria maswahili haya nahisi kienglisenglish rupu embu mwenye kutusaidia maana siku hizi hzi talaka zinagawiwa mahakamani kama juice za sayona akuna tena ati miaka miwili na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mkufunzi mmoja ambaye ni nguli wa kuwafunda akina dada wakati wa Kitchen Party amewataka akina dada ambao wanakwenda kuolewa kufahamu vizuri jinsi ya kuutumia mwiko wa kupikia kwenye chungu ili...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa mara nyingine tena Napenda kuwatakia heri wana ndoa wote wanaoatarajia kuona siku ya kesho kwa niaba ya familia yangu nawatakia maisha mema ndoa yenye furaha kama yangu baraka za wattoto...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
:drum:WanaJF hebu tuliangalie hili, kuna baadhi ya wanaume wakiona mwanamke mwenye makalio makubwa mate yanamtoka hata kama ni mke wa mtu anatamani aduu nae, wakati huo huo wapo wanopenda wenye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna watu huandamana na wake zao au wapenzi wao popote waendapo,hao huitwa kumbikumbi,na wapo wanaosema,kuandamana na mpenzi wako kila uendako si tabia nzuri, ina hasara nyingi sana kuliko faida...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Hey, First, Im just saying helo and WISH YOU A HAPPY WEEKEND, Remember we have a long weekend up to tuesday, Play safe! Second, i would like to congratulate most of the JF members, mention few...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Inaniuma sana kuona sisi wanaume tu ndio tunaotoa fedha au kuhonga chochote wanawake hasa baada ya kusex na hata kama ni gf wako mnae pendana sana au hata kama ni mlupo tu asubuhi lazima akitoa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
MDOLI MKUBWA WA NGONO WA KIKE WAZINDULIWA Ubunifu wa mdoli huyo ajulikanaye kama Roxxxy, akiwa na akili kamili ya kitaalam na ngozi ya kuvutia kama ya binadamu, umewavutia watu wengi katika...
0 Reactions
31 Replies
11K Views
BEDROOM DEMOCRACY Young wife, who was becoming frustrated with her young husbands constant demands for sex, decides to make a schedule for him, to cut down on the amount of times that they...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Haya...kwa nyie ambao bado mnadhani kuna mapenzi au kwamba mtu hawezi ku cheat...hebu someni hiki kisa cha Larry King na mkewe....ambao wote walitoka nje ya ndoa yao..... Halafu huyu mke wa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
UNAVAA JEANS NA KITOP KIFUPI UKIKAAA MAMBO YOTE HANUUU.. UTAM DEFINE VIPI? UTAMCHUKULIAJE??????
0 Reactions
52 Replies
12K Views
Wakuu... JF ni mahali pazuri kwa tunaoitakia nchi yetu mema! mbali na siasa, intelligensia na mambo mengine mazito na ya maana... nadhani jamii, mahusiano na mapenzi ni ada yetu ya kila siku and...
0 Reactions
112 Replies
8K Views
hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Hivi wana jf, kuna uhusiano wowote kati ya mapenzi na elimu? Ni muhimu kwa wapenzi kuwa na elimu sawa? Inakuwa vipi kwa mwanaume anapomzidi mwanamke kielimu? Inakuwa vipi kwa mwanamke anapomzidi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…