Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kama Computer Vile! Ndoa ni mfano wa computer. Kwani computer hukupa kile kimewekwa tu, huwezi kutumia program ya MS Word kama haijawekwa, huwezi kupata internet kama haijawa connect na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mimi natoka huko kwa The Don Ngosha,nakumbuka sana wakati tuko wadogo tulikuwa tunaenda ziwani kuogelea lake Victoria huko mazoo..mabinti with mama zao au waliowatangulia huwa walikuwa wakienda...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Hebu oneni hii jamani, its funny lakini yawezekana ina ukweli. WHITE WOMEN First date: You get to kiss her goodnight. Second date: You get to grope all over and make out. Third date: You get...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau nimepata taarifa hivi punde kutoka kwa bro. ameniambia house boy kammegea wife wake. Kama haitoshi kampa na ujauzito kabisa huku sisi tukiwa na imani na matumaini kuwa bro kafanya kazi...
0 Reactions
152 Replies
17K Views
Nawasalimu wana jamii, pia nawapa pole na mihangaiko ya hapa na pale Pamoja na salaam pia naombeni ushauri. Naomba kwa yeyote aliyetayali kunishauri anishauri kwa dhati ya moyo wake, si kukejiei...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Jamani nahisi naibiwa,mpenzi wangu amekua ana safari za kutia mashaka na bosi wake. Yaani hata zile ambazo hazimhusu wanaenda pamoja,na wanaenda nje ya nchi.Nahisi naibiwa kwani zimezidi kua...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Nina muda usiozidi miezi miwili hapa JF nimeanza kunongewa na kwa vile sipendi vya bure nipo mbioni kwenda kulipa premium. LAKINI? kuna watu hapa JF hasa wewe na wewe eeeh na fulani nilitaka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wapendwa wana jf, napenda kuwataarifu mapema kuwa mnamo tarehe 10/07/2010 natajia kufunga ndoa huko tanga katika kanisa la kilutheri la kana, na kisha tafrija itafanyika pale railway club kuanzia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna watu wengi nakutana nao na kitu kimoja nakigundua ni kuwa watu wengi bado wanaamini kuwa na watoto wengi ni baraka au utajiri wa aina fulani..... matokeo yake watu wengi wanazaa watoto wengi...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
vijana wametoka mbali sana.hapa ni kipindi kileeee wanajifunza kunywa mbege mkuu:
0 Reactions
100 Replies
8K Views
huyu dada anatafuta mchumba mwenye miaka kati ya 30-40 -mimi ni msichana [PICHANI JUU NAONEKANA] -nINA miaka 28. -mkristo. -mjasiriamali. -naishi Dar es salaam. sina mtoto wala sijawahi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Once upon a time there was a teacher and his student lay down under the big tree near the big grass area. Then suddenly the student asked the teacher, Student : Teacher, I'm confused how we find...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
someone more than urself...or in other words dont love anyone to the point of loosing urself...because if u do u allow them to control u or take advantage of u. In any relationship we have to...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ukimringishia sana atazira, ukimpa sana atatamba, ukimpa kwa kibaba atatafuta cha kujazia na usipompa kabisa yupo atakayempa tena bure! so.. fuata ushauri wa daktari.. mpe kwa dozi - ni ushauri tu.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
wiki hii nataka kuzungumzia namna ambavyo usipoangalia unaweza ukamshawishi mpenzi wako akusaliti bila wewe kujua. Nataka kuligusia hili kwasababu, nimegundua kuna watu wanaowapenda sana wapenzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KWA MUJIBU WA KUMBUKUMBU ZANGU,you must have quit the club JUMPING TO ANOTHER NEW CLUB KWA HESHIMA NA TAADHIMA,KWA NIABA YA WANACHAMA WENZANGU WENGI ninakukaribisha sana kwenye ''NEW CLUB''.a no...
0 Reactions
83 Replies
6K Views
wanywaji(sipendi kuwaita walevi) pombe wengi mara nyingi husema kuwa watu wasiokunywa pombe, si bure ni lazima wana ulevi wao.Wengine husema asiekunywa pombe atakuwa malaya au mpenda muziki sigara...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna wale wenye tabia ya kumpeleka mpenzi wake nyumbani kwake na kucheza nae mechi kwenye uwanja wa taifa(bedroom) huku wakiwa ni wake au waume za watu:SOMENI HII: Jana maeneo ya kinondoni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya watu utawasikia wakisema' huyu ni family friend', kuna mzoefu anajua faida au hasara za familyfriendship?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
najisikia kumchoka mwenzangu bila sbbu yuko sawa kila k2 ila sina ham naye tena kama zamani tulipokuwa wachumba najitahidi nashindwa sina nyumba ndogo ila natamani wakti mwingine ila cjawahi fanya...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…