UKWELI NI KWAMBA,kutakuwa na very very very hot and serious programme
JS KOKOTE ULIKO JIPANGE SAWASAWA,nadhani unajua nina maana gani
WAPWAAZ,mabinamu,marafiki na wote wenye mapenzi mema...
Kuna Mjadala huu wa wanaume kusaidia akina mama kuwapeleka watoto wao kiliniki!
Mtazamo mmoja unaona hili kama ni kubeba kila kitu cha wazungu na kwamba huu ni mtazamo ulipigwa tope la kikoloni...
naomba usaidizi wenu wana JF, nina jirani ambaye ananikera lakini nimeshindwa kumueleza. Huyu jirani ni mlady mwenye umri wa kati and a single mother of two (boy n gal) issue ni kwamba she's a...
To realize
The value of a sister/brother
Ask someone
Who doesn't have one.
To realize
The value of ten years:
Ask a newly
Divorced couple.
To realize
The value of four years:
Ask a graduate...
Wadau wapendwa, leo nimeingia mji wa Mwanza na kwa furaha kubwa saaana tu kuna yeyote aliye mwanza tutafutane jamani??
kituko ni kwamba nimekutana na sewerage inajengwa ukitoka tu airport, furaha...
kwanini watu walioelimika wasionyeshe mfano mwema katika tabia wao ndio wamekuwa mstari wa mbele katika kuonyesha ni jinsi gani jamii inaweza kuishi katika uzinzi ulevi na kila aina ya machukizo...
Really funny!!!
Hii ni true story kabisaa, kuna dada mmoja kamegwa na mume akagundua, sasa jamaa akamconfront mwizi wake na kumuomba aache... mwizi akaacha, basi imekua tabu nyumbani! mwanamke...
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.
Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na...
Wewe ungeamua nini ???
Kuna jamaa kaoa lakini pamoja na hayo ana kimada nje ya ndoa yake. Mkewe alishatonywa lakini aliamua aanze na uchunguzi. Sasa kuna siku baba aliamua ku-surprise kimada...
Ukiuliza Biblia jibu ni "ndiyo"! Sasa nimejiuliza.. kwanini hayo maandiko hayasemi
Mke mzuri
Mke mrembo
Mke mwenye figure ya namba 8
Mke msomi
Mke mwenye sura ya umodo
Mke mkamilifu
Mke mtulivu...
Huwa nashangazwa na tabia ya huyu mchumba wangu. kila ninapokuwa mbali naye kwa shughuli za kikazi au za kifamilia ( kutembelea ndugu mkoani kwetu) kwa muda zaidi ya siku tatu, nikirudi wakati wa...
Recently nimepata promotion nikakwenda department nyingine.Aliyekuwa bossi wangu ambaye
nilimuheshimu sana kama baba yangu akanipigia simu akiniambia twende lunch.Tulipoenda lunch akanieleza...
considering the fact kwamba i am now SERIOUSLY committed myself to me,my life,my family and i
can someone please give me tips on HOW TO DUMP A GUY(external works).......?!
ahsanteni sana...
WAGANGA WENGI WA KIENYEJI WAMEKUWA WAKILINADI KUWA WAO WANA DAWA ZA KUONGEZA MIVUTO ILI UPATE MSICHANA UMTAKAE.
USIDANGANYIKE NA ULAGHAI WA WAGANGA, HAPA PANA VIJI MAMBO VICHACHE VYA KUKUSAIDIE...
Semeni tu kama kuna mtu kapewa talaka tutasuruhisha
Kama kuna mtu bado anashindwa kutongoza tutamfundisha
kama kuna mtu anatafuta mchumba wapo wamejaa tele
Kama ndoa zina migongano wapo wataalam...
wakulu nimekuwa najiuliza kila mara kuhusu hili lakini no answer sijui na wenzangu mumewahi tokewa?Lini umekasirishwa na mwenza wako na kudiriki kumwambia wewe ngoja tu siku yako inakuja...mie...
Jamani nimesikia leo hili swala nkasema naweza pata mawazo hapa yenye maana
kuna topic walikuwa wakijadili clouds fm ,,lakini ikanigusa nina mtoto wa mama mdogo ana miaka 23 mpaka leo ananuliwa...
Wakuu nimekaa tangu ijumaa kuu nikichungulia kama vile siamini kwamba JF ilikua likizo... i missed every inc and every second of those days... yes i was on holiday, but i really missed every bit...