Unatafuta Mchumba? Ushauri wa Bure wa Michelle Obama
Mke wa rais wa Marekani, Michelle ObamaTuesday, November 17, 2009 10:32 AM
Mke wa rais wa Marekani, Michelle Obama, ameamua kumwaga busara...
Wanaume wengine Ovyo!
Mwanaume ajulikanaye kwa jina la Bakari akimsaidia mke wake hawa kuosha vyombo baada ya mlo huko Senegal.
Huyu mwanaume si ovyo!Umemfanyia vitu vyote ambavyo mwanaume...
Kucheza kimapenzi
Katika moja ya misingi ya kujenga mahusiano kati ya mke na mume ni pamoja na mke na mume kuwa na muda wa kucheza pamoja.
Kabla hatujafika mbali hivi ni lini wewe na mume...
Leo nimepanda daladala asubuhi wakati nakwenda kibaruani, bahati mbaya nikakosa siti nikawa nimesimama pembeni yangu kulikuwa na mdada ambaye alikuwa amekaa, kwa kuwa gari ilikuwa fupi nikawa...
nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu mapenzi hasa kwa hawa dada zetu.nimefikia mahali nimeshindwa kuelelewa kbs.ukiongea nao watasema wanataka mwanaume mpole,msikivu,atayempenda na kumjali nn...
Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na...
KUTOKUWA WAAMINIFU
Hii ni changamoto nyingine ambayo huwasababishia watu wengi kukosa wenzi wao wa maisha, kila mtu anapenda kuwa na mpenzi anayeaminika ambaye hatompa jakamoyo la kila mara...
Jamaa mmoja alikuwa akitokea shamba pamoja na mkewe.... Wakiwa njiani waliona uyoga, wakaung'oa na kwenda nao nyumbani kwa lengo la kwenda kupika na kuula. Lakini kabla ya kufika nyumbani...
Tumegundua Siri!
Hello dada Jane,
Naamini unaendelea vizuri na mumeo James,
Leo nimeona nikuandikie waraka kukujibu lile swali lako uliloniuliza kwamba nini hata baada ya kutimiza miaka...
Kuna rafiki yangu fulani hivi amenilalamikia mara nyingi kwamba kila akijaribu kujielezea kwa 'wadada' anachoambulia ni 'kuchezea za uso na vidochi', Je, wana JF kwani kuna namna gani ya kuongea...
FAKE FRIENDS: Never ask for food.
REAL FRIENDS: is the reason you have no food.
FAKE FRIENDS: Call your parents Mr / Mrs
REAL FRIENDS: Call your parents DAD/MOM
FAKE FRIENDS: never seen you cry...
Unachonga sana!
Ndoa nzuri huanza na watu wawili lonely, wakati mwingine huanza na wawili wasiojua kuongea (communicate) na baadae wakawa wazuri zaidi.
Je kuna njia yoyote ambayo mwanamke...
.....kabla hujaendelea kusoma, je kichwa cha habari nimekipatia?!!! lol :)
haya endelea sasa...
'Michael Jackson' women in Tanzania search for Chinese husbands
From The Times
October 13...
<H3 class="post-title entry-title">Kucheza kimapenzi
Katika moja ya misingi ya kujenga mahusiano kati ya mke na mume ni pamoja na mke na mume kuwa na muda wa kucheza pamoja.
Kabla hatujafika...
Wanaume nao........
Wanaume hufa mapema zaidi kuliko wanawake:
Kuna wazo ambalo kampuni nyingi za Bima zinalitamka wazi kwamba wanawake wengi wazee watakuwa wajane miaka 7 hadi 11 baada ya...