Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu ndiyo maana nasemaga kuoa ni kwa ajili ya watu dhaifu 🤣
wanaume nice guy huwa inalipa kodi hadi milioni 3 eti..! Dah halafu...
ugonile,
Ntakua wa mwisho kuamini kuwa Aziz Ki kafanya maamuzi ya kufunga ndoa na Hamisa bila kupigwa juju
Wanawake wengi wa kibongo wanatabia kwamba wakipata mchumba au danga lenye vijisenti...
Hamjamboni!
Kuna Misukule ya aina nyingi.
1. Kuna Misukule ya Imani
Hii ni Misukule ambayo waumini hutafuta pesa kwa Hali na Mali. Kwa jasho na damu na kwenda kupeleka Mali hizo kwa Mitume na...
Salaam jamiiforum
Hope mko wazima kabisa.wenye matatizo Mungu atatia wepesi.
Leo tukumbushane na kuwatazama watu hawa hapa,aisee,hawa tuwape kongole zao.
1.Wanaokaa na kusomesha watu baki...
Habari
Me kinachoniuma ni kwamba ukimkamata mwizi mala ya kwanza basi ujue hiyo ilkuwa mala yake ya arobaini kukusaliti na ndo ya mwisho, imagine mtu anakusaliti mala 39 halafu unamkamata round ya 40
Chozi ama machozi ni ishara ya kuumia na maumivu yaliyoshindwa kuhimili hisia za kawaida za kibinadamu... Wanawake ni mabingwa kwenye hili. Wanaume huchukuliwa Kama shupavu wasiotoa machozi yao...
Ndugu wana jf .
Hawa dada zetu wamejiachia sana na kupoteza usichana (bikra ) kizembe kizembe sana kwa tamaa za mali na maisha mepesi mepesi. Na baada ya kupoteza ubikra wao ndiyo wanajifanya...
Kwanza nianze kwa kukiri kuwa maisha ni magumu sana nadhani kila mtu anajua.
Na katika mahusiano ya mapenzi kati ya me na ke lazima kunakuwa na tofauti ya kipato, yaani Mara nyingi wanaume...
Wewe ni mwanaume umehangaika sana kutafuta mwanamke wa ndoto zako na haujampata au pengine umewahi kumpata lakini mkashindwana?
Kama unapitia kwenye hatua hii basi tambua kuwa hakuna mwanamke...
Habarini,
Kuna social construct nimeiona kwenye jamii
Mimi binafsi na great thinkers wengine tunaamini kuwa hamna tofauti kati ya golddigger (mdada anaekupendea hela) na mdada anaejiuza...
Niliambiwa kuna chakula nipikiwe, chakufanya, nimtume boda ingredients, nikasema sawa.
Ingredients zikaja, mapishi yakaanza, na tukaandaa matumbo ya chakula kizuri.
Chakula kimeiva, kila...
Nini hasa kimeingilia hapo katikati kwenye mapenzi, kwamba nje ya ndoa hakuna tena uchoyo wala kunyimana suala la mapenzi, unapewa tu kirahisi hata na mwenye ndoa, ila cha kushangaza ndani ya ndoa...
Mjomba alifia gesti Dodoma akiwa na mchepuko ambaye ni mwanafunzi wa chuo. Huyu baba alikua mtu maarufu kwenye siasa na alivyofariki, ilitangazwa kwamba alifia njiani wakati akikimbizwa hospitali...
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Mama Ayubu mkazi wa mtaa wa Banda mbili Kata ya Sombetini Jijini Arusha, anadaiwa amemuua mume wake aitwae Daudi Estomii (45) ikiwa ni baada ya kuwepo kwa tuhuma...
Nimeshirikishwa mkasa wa binti mdogo wa miaka 23 ambaye ameingia kwenye ndoa wiki kadhaa zilizopita. Baada ya ndoa, mumewe ameanza kumuomba wafanye mapenzi kinyume na maumbile, jambo ambalo...
Ndoa yangu ina umri wa mwaka na nusu sasa,na kubarikiwa mtoto mmoja mzuri na ana mwaka mmoja sasa.
Changamoto ni majukumu yangu na ya mke wangu kututenganisha.Wote ni waajiriwa,though ni within a...
Habar za majukumu ndug zangu,
Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake.
Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina...
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.
Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita...