Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu
Kama kawaida katika harakati zangu za uchakataji wa papuchi wakuu ,
Hamuwezi amini Nimekutana na Bikra ,Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 7, awamu hii ndio nimekutana na Bikra,sio Bikra tu ni...
Okey, kwa hio hao mafisadi wanaotuibia pesa miongo na miongo wanatajirika hadi watoto wao tena wanakuja kutuongoza sisi, wenyewe hawajipatii nuksi kutokana na uchungu wanaotusababishia ila sisi...
Habari wandugu
Niseme tuu hii sikukuu kwa upande wangu imekaa vibaya sana mimi naishi Dar nina mwanamke Arusha na Moshi sasa nikawapanga wote tukulane hizi sikukuu wakakubali.
Jana nikafunga...
Habari za muda huu wadau, naombeni kuuliza eti mwanaume ambae hana shida yeyote namaanisha shida ya kiafya anatakiwa akae muda gani au dakika ngapi baada ya bao la kwanza ? yaani ( refractory...
Wakuu
Bandiko la binti ndo kama hilo
==================================================================
UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA UWABATA
S.L.P 444
Dar es Salaam, Tanzania
YAH...
Mabinti
Feb inamalizika
Umru unaenda
March tunaongelea robo Mwaka angalia yapi unapitia
Niwakumbushe tu kweli maisha magumu lakini KUNA jambo nimeona niwaase Leo hiii
Sio kila anaekutongoza...
Nimekuwa nikijiuliza bila kupata jibu.Kwanini Wazungu wanapenda mabinti wembamba na sisi weusi twapenda mashepu?
Lakini hivyo vibinti vyembamba vinavyotoka na wazungu vinakuja tena kwetu...
Huyu demu nilikutana naye haja jamvini, nikajisogeza PM kwake na zozo zogozi likaanza taratibu, tukawa marafiki tukitoka mida ya jioni kazini tunapitia K Tea Shop kupata kikombe cha kahawa na...
Rais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa...
Miongoni mwa Aina ya wanawake wapambanaji katika hii Dunia ni Hawa single mothers. Big up sana💪
NB: unaweza kuwa mwanamke mpambanaji Kama ukiamua kuwa hivyo,
"siyo mpaka upigwe tukio"
Uzinzi ni nini?
Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao na kwenda kukutana kimwili na wanandoa wengine, yaani ni kitendo cha kufanya ngono na mtu asiyehalali yako.
Pana...
Hello jamiiforum.
Hope mko salama
Happy birthday to me ,
Nimezaliwa tarehe 2
Mwezi wa pili
Miaka mingi iliyopita.
Hivyo ni kumbukizi nzuri kwangu
Leo tuone madhara ya punyeto kiroho si...
Ndugu najua kabisa mtashangaa ni kwanini hawa wawili au wengine mtasema ni promo au kujitoa akili ila ndivyo ilivyo.
Siku moja natamani sana Depal au Leejay49 awe mama watoto wangu msiniulize ni...
Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika,
Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana...
Jada Smith, Mke wa Mwigizaji Will Smith amefunguka kuwa yeye ni Mraibu wa ngono, hivyo Mume wake peke yake hawezi kumtosheleza.
Jada anaeleza kuwa uraibu wa ngono umeanza tangu akiwa Mdogo na...
Wanawake wanapaswa kuwa na ufahamu wa kutambua ni mwanaume gani yuko tayari kwa ndoa na ni nani ambaye hana malengo ya ndoa .Hii itawawezesha kuwa na uamuzi bora kuhusu uhusiano wao na kuepuka...