Unakuta mume si wako ila unakiherehere wewe ndio unashadadia vitu kama mume wako.
Mtu akipiga unapokea unamuliza wewe nani, kwani wewe nani.
Kila mahali unamganda mume wa mwenzako unajitoa kama...
Habari za wakati huu wadau?
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Ninataka kurudiana na mwenzangu ambae tulitengana miaka minane iliyopita, naombeni maoni ushauri namna ya kuishi nae maana huko...
Habarini za siku nyingi wana jamvi,
Kwanza nitoe 'disclaimer' msije mkanishambulia, kwamba huu ni mtazamo wangu na si msimamo wa wanaume wote.
Ila kiukweli mmekua wepesi hadi mnaboa ingawa sio...
Akina dada nipende kuwashauri kitu kimoja.
Msipende kuwadharau vijana mnaofanyanao kazi ofisi moja na kuwaona wa thamani kubwa watu msiowajua hasa wa kwenye mitandao mkidhani kuwa hao ndio wana...
Bwana awe nanyi,
Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent.
Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi...
Ni rafiki yangu, alienda Dodoma kikazi,baada ya mizunguko ya kiofisi akarudi gesti alikofikia, mida ya jioni akateremka kwenye baa ambayo iko jengo moja na gesti aliyofikia ili apate mlo wa jioni...
Habari wadau,
Jambo la kujifunza kabla mwaka haujabadilika ni hili hapa, kama kuna silaha iliowahi kuwa na nguvu duniani basi ni pesa tu. Itakupa vingi vizuri na kila aina ya raha ya maisha...
Habari za leo wakuu,
Nianze kwa kusema hivi wanawake wasilaumu kwanini1 wanaachiwa watoto, wanatengeneza mazingira hayo wao wenyewe.
Mimi umebaki tu upendo kwa mtoto wangu wa nampenda sana bila...
Huyu dogo kutoka West Africa amelost big time.Kijana hizo ng'ombe fuso mbili bora angepelekea vituo vya watoto yatima wakala ubweche kuliko kulipia mahari SINGO MAZA with two kids from two...
Habari ya jioni ndugu zangu wa Jf. Kwanza nimshukuru Mungu wetu Mwema katika jina la Yesu kwa kutulinda na kututunza hata Leo.
Takribani miaka 10 liyo pita, nilipata tatizo la akili yangu mnamo...
Kama humu JF na mitandao mingine ya kijamii upo na umeolewa, changanya na zako vinginevyo ndoa itakushinda humu wengi wana stress za kutoolewa na washapitisha miaka ya 30 na kitu, ukiangalia...
( true story)
Ilikua ni siku ya Jumamosi majira ya saa sita mchana nikiwa nachezea PC nikiangalia Movie, ndipo nilipowaka tamaa ya mapenzi iliyojawa na hatari kubwa ndani yake,
Ndipo nilipoamua...
Kitu kimoja cha kuelewa ni " mapenzi ni mfumo unaojitegemea!"
usilalamikie mapenzi kuwa ni kitu cha hovyo bali wapenzi ndo hovyo!,maana mapenzi ni kama njia tu,wanaopita ndo huamua wapiteje lkn...
Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision".
Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku...
Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha...
Salaam,
Mimi kuna kitu huwa siwezi kabisa kukifanya, nimkute mwanaume wangu na mwanamke mwingine, sitomfanya chochote kabisa.
Kwani yeye amefwatwa kama mimi alivyonifata akanitongoza tu.Sasa...
Mi ni kijana (me) miaka 30 Kuna kabinti hapa mtaani nilitokea kukupenda basi sikujivuta sana nikamtafuta nikachukua number za cm nikamuomba siku moja tupate wote chakula Cha usiku basi haikuwa...
ugonile,
huu mwaka nilikua na mpango wa kuoa ila nimeghairi baada ya kuchuja kati ya wachumba wangu wote nlokua nao [wote wakristo] hamna mwenye quallities ninazozitaka na ukizingatia na sheria...