Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimesikia eti kuvaa mitumba ni laana. Huyo mhubiri amesisitiza watu wasivae nguo zilizokwishavaliwa na watu wengine, utalaanika kwa kuvaa mtumba maana maandiko yanasema hivyo. usivae hata nguo...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde. Nataka mwanaume...
10 Reactions
57 Replies
2K Views
Awe na Tako awe na kiuno awe na bastola. Hutaki kajisaidie....mi nshakutana na wanaume wanasema napenda mwanamke namba moja.... Nyooooh...namba moja my ass. Wengi ambao ni vibamia wanaogopa...
23 Reactions
228 Replies
6K Views
Wakati mwingine katika maisha tunapitia vipindi vigumu na vizito vinavyotufanya tuhitaji kufarijika na kutiana moyo. Unaweza kufarijika kwa maneno mazuri toka kwenye vitabu vya dini au toka...
5 Reactions
324 Replies
33K Views
Hakuna aliye mkamilifu duniani zari alimwacha mumewe akakimbilia kwa Dai akidhani huko ndio kuna nafuu lazima tuelewe kila binadamu ana mapungufu ingawa yanatofautiana jifunze kutorudia kosa...
12 Reactions
67 Replies
9K Views
Nimejisikia kwa kweli kuongelea hili nimesikia wengi baada ya kuwa na mahusiano na kunogewa huanza kudai watoto utamsikia mtu anasema mpenzi si unizalie katoto jamani ona tumekuwa wapenzi muda...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Nimefanya utafit mdogo tu humu nimegundua wanaume mnalalamika sana kuhusu wanawake kuwaomba pesa, kuwapiga mizinga, kutotosheka na mnachowapa na mengine kibao. Jamani eee hebu acheni kulalamika...
9 Reactions
112 Replies
7K Views
  • Redirect
Ni juma nne usiku nikiwa bar moja maarufu hapa mjini baada ya mishughuliko ming nkasema nipate moja moto moja baridi nirudi kwa nkalale na familia yangu. Sikuamini nilichokiona kafika katika meza...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa nini wanaume Waafrika/blacks wanapenda/kuvutiwa au kupagawa na wanawake wenye makalio makubwa sana tofauti na wanaume wa kizungu na sehemu kubwa ya Asia kama China, Japan, Korea n.k ambao...
13 Reactions
153 Replies
7K Views
Habari wanajukwaa, Naona kuna wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa kuliko wale walionyimwa makalio, why!?
18 Reactions
205 Replies
18K Views
Pesa siyo kila kitu ila siyo mbaya kuwa nayo,enyi wadogo zangu,wangu na wajukuu zangu wa kiume. Mpo kwenye era mbaya sana, Niwape pole Kwanza. Era yenu kila kitu kinataka pesa eti. kufuga...
7 Reactions
30 Replies
668 Views
Wakuu, Huyu jamaa ni jirani yangu haswa, yaani tunashare upande mmoja WA ukuta wa fensi,shughuli nyingi za kifamilia Huwa anashiriki vizuri Sana, migogoro pia anakuja kusuluhisa na kunishauri...
24 Reactions
219 Replies
7K Views
Wakuu sasa hii ni too much.. Najaribu kuheshimu watu hapa ambao kimakamo unaona kabisa ni kama dada yangu au mama yangu mdogo ila mambo niliyokutana nayo nashangaa naona sasa ni pepo. Hivi...
11 Reactions
55 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuu Napenda kuwapa taarifa kuwa sikopeshi mwanamke yoyote hela yangu tena. Kusema kweli sijawahi kukutana na shida ya kurudishiwa hela yangu kutoka kwa mwanaume mwenzangu...
31 Reactions
134 Replies
4K Views
Amani iwe kwenu wote..... Kina mama ambao mna watoto especially wa kike kwa ups and down za maisha mkatengana na baba zao na mnaishi na baba wengine wa kambo, hivi hawa wababa huwa...
42 Reactions
161 Replies
6K Views
Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu mliwezaje kuwapata? Mwisho...
41 Reactions
558 Replies
6K Views
Wakuu, Mila na desturi ni mtindo wa maisha wa jamii waliojiwekea wanajamii kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Mila na desturi zinaweza kuwa ni mtindo wa maisha wa mwanadamu kama mavazi, chakula...
0 Reactions
42 Replies
674 Views
Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:- Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi...
31 Reactions
149 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…