Kimaisha! wakuu niwaambie wanawake wakichagga ni quiet different from others. Ukioa mwanamke wa kichagga darasa la saba hana tofauti na mwanamke mwenye digrii from another tribe.
Nayasema haya...
Kiukweli kuna jamaa mmoja hapa jirani yangu anateswa sana na mkewake, anapigwa sana kama mtoto lakini hawezi kumuacha huyo mwanamke.
Kuna siku alimuuliza mke wake kua anaenda wapi, halafu ilikua...
Huyu mdada tunafanya naye kazi yaani namshuhudia anaolewa tena harus yake sikuchanga na kadi alinipa na nikahudhuria vizuri tu
Huyu dada ananipendaga tu nishamla mara1 tu ana mtoto m1 amezaa na...
Wanaume wengi ni wahanga wa kuombwa ombwa hela ovyo na wanawake pale wanapowatongoza, yaani unakutana na mwanamke baada tu ya wewe kumtongoza hapo hapo mama yake anaumwa, njaa inamuuma, simu yake...
Swadaktaaa?
Back, nikiwa 3rd year nilishwai miliki chombo kali sana aisee huyu dada alikuwa ni pisi kali sana, moja ya pisi nilizotoka nazo anaingia top3. Alikuwa ni mzuri balaa. Ni pisi ambayo...
Sipo hapa kupingana na wanaume wenzangu wala kupingana na chaguo la wanawake ila nipo hapa kusema ukweli ambao siku zote unafichwa kwa kivuli cha mwanaume mweusi-mrefu tena mwingine akiwa na hela...
Habari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi...
Utu uzima dawa! Mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache, kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika)...
Wakuu,kuna mwanamke mmoja mmiliki wa pub moja maarufu hapo Dar naona tunakoelekea ni kuanza kulana tu sasa.
Hivi kuna mwenye uzoefu wa kidate na wanawake wenye kumiliki bar humu anipe abc zao...
Ati mwanaume anakwambia honey sasa ivi mimi najitafuta kwa mda wa miaka mitatu naomba unisubirie! Hapo tayari ana kazi ambayo inamueka mjini alaf anakwambia bado anajitafuta umsubirie!
You don't...
Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kwamba maisha siyo tu kuhusu NGONO.
Kuanzia mwanzo wa mazungumzo hadi mnapofika kitandani, na hata mkiwa juu ya kila mmoja, kila kitu kinahisi vizuri. Lakini...
Ule msemo wa mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe unaendelea kujidhihirisha.
Mkoani Arusha kuna mama mmoja mrwmbo kajilipua kuchora jina lanabii GeorDavie begani.
Mama huyo mrembo kweli...
Wasalaam,
Kama kijana ukipata binti anajielewa muoe haraka maana ukimtosa utakuja kujuta baadae.
Kwa upande wangu alikuwepo binti alinielewa sana ila mimi nikaona mimi ndio mimi, nikaona nile...
Ndugu wana Jf.
Hii ni comment yangu nimeiweka mahali ila naona nikiifanya uzi nitapata mawazo mazuri zaidi
Nina binti wa kichagga kwa upande wa mawasiliano yangu na yeye ni mwendo wa mchaka...
Wakuu habarini!
Hawa wanawake wasiojitambua Ni changamoto Sana!
Hapa kitaa Kuna kisa kimetokea na ugomvi kuzuka wa hali ya juu!
Ni hivi, Kuna mzee mmoja hapa mwenye mke na watoto, ambaye kwa...
Jamani nataka niulize ni week sasa Mke wangu kanuna na sina kitu chochote nimemfanya,
Hivi vitu gani vinasababisha wanawake kununa kwani na mimi nimebaki kimya tu sasa sielewi huku kununa kwa...
There are currently 482 users browsing this forum. (95 members & 387 guests)
Digna37
MUREFU
Michelle
uporoto01
kibisavet
Dena Amsi
chuki
Truenorth
masssaiboi
mndumsolo
chetuntu
zaklove
Suleimana...
Aloo, hivi unajisikiaje kuto kumspoil mpenzi wako au mkeo? yaani mmeona ni big deal kumhonga mkeo mpenzi wako? sawa anafanya kazi sasa kumsapoti kiasi nayo ni vita? wanaume wabahili wa JF...