Nina mke na watoto kadhaa, kutokana na maradhi nke wangu hana uwezo wa kushika mimba tena. Kwakuwa sijatimiza idadi ya watoto ninaotaka nkaona nijiongeze.
Mwanamke ninayetaka kuzaa naye nataka...
Wasaalaam wakubwa zangu jamani nimekaa nimejiuliza hivi nyie vidume wenzangu huwa mnafanyaje fanyaje mpaka mnapostiwa na kuwekwa DP kabisa mbona mimi sijawahi au bado nafanyiwa tathmini I mean...
Kuna wale wanaojifanya wanaume kumbe ni wanaume suruale kutwa utakuta wanashinda kwenye kioo kujipodoa. Hawa hupenda kuvaa vimodo usipoangalia vizuri utadhani ni binti hadi kuongea wanabinua...
Mpenzi wangu analalamika kwamba nafanya mapenzi kwa Muda mrefu kitu ambacho yeye anasema kinamfanya aumie.
Anasema wakat yeye ameshakojoa Vya kutosha ila mm Bado naendelea kupiga show , anasema...
Kupenda ni ugonjwa na nimeamini kwa kweli huyu jamaa nampenda mpaka nikimwona tuu huwa nasikia kuloa kabla hata hatujaanza, kiukweli nimetoka na others Boy but sijawahi kutana na boy nikampenda...
Wakuu huyu mwanamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahari.
Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye...
Mbinguni tunaenda kwa IMANI, hivyo bila shaka ili upafahamu unapaswa kuwa na imani..
Unaweza kupitia kifungu hiki kama mwanzo kabisa wa wewe kupajua mbinguni..
Mwanzo 19:24
Ndipo BWANA akanyesha...
Sijui ndio nimeachwa au sijui bado nipo kwenye penzi, hata sielewi, maana hizi dalili za mpenzi wangu naona kama mguu mmoja ndani mguu mmoja nje.
Hivi mtu akikuacha anakwambia au anakaa kimya tu?
Sio kulewa tuu yaani anakwenda mpaka disco na anaweka status anavyo bambiwa.
I don't know hawa watoto wana shida gani ni malezi au ndo kujiendekeza tu.
Huu ndio utafiti nilioufanya mabinti wengi wanapenda kuolewa tayari wakishakuwa wamekula ujana wao tayari hapo ndio watakuwa tayari kutulia katika ndoa umri wa miaka ya miaka 18-25 akikubali...
Imekuaje tena Semaji anatoa siri za Chama π
Juzi tu hapa tumesemwa na Prof. Tibaijuka eti asema ukiwa na miaka 30, unasema bado nini?
Sikiliza majibu ya Msemaji wa Simba Ahmed Ally kuhusu...
MIAKA 18-25
Umri huu wa wanawake walio wengi wao wanawaza masomo walioko shuleni ila walioko nyumbani wanawaza kuolewa wawe na familia
Wanaosoma wana taswira za kubwa baada ya masomo yao yaani...
BINTI, KAMA UNAMPANGO WA KUOLEWA USICHELEWE KUOLEWA. UMRI SAHIHI MIAKA 20 - 30.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuolewa ni faradhi lakini kuzaa inaweza kuwa majaliwa yaani mapenzi ya MUNGU...
"Based on a True Story "
SEHEMU YA 1
"Tina! twende baba yangu amekuja" Haya ni maneno ya rafiki yangu Emmy mchana ya Siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi.
"Mmh! Wewe nenda ukirudi utanikuta"...
Kabla hujaingia katika ndoa zingatia hizi siri 5....
1. Ndoa si bahati nasibu ya mwanzo-na-kushinda - ni agano la kimungu.
Biblia inakazia kwamba.. Bwana asipoijenga nyumba, waijengao...
Hivi inakuwaje mwanaume mzima unakuwa na pesa za kutosha, umefika miaka 30 hadi 40 hapo katikati, lakini bado unashangaa anakuwa na girl friend tu, au pengine hata halijaoa?
Hivi huwa ni tatizo...
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.
Unajua katika life unaweza tongoza demu ukatumia hata miaka saba au minne. Yaani unaweza tongoza dem kuanzia la...