Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kipindi unafanya mtihani ukiona mwalimu anayekusimamia yupo nyuma yako na anatoa kauli za someni swali vizuri ujue unachojibu sio sahii. Ukiona anakuambia muda hautoshi malizia malizia swali ujue...
1 Reactions
0 Replies
391 Views
2021
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha uzi huu Kama unauza king'amuzi cha azam completely na dish tafadhali nicheki 0654846084 tufanye biashara. Bajeti yangu ni 80,000
1 Reactions
6 Replies
2K Views
WanaJF, Hapa Tanzania kumekuwa na maagent wengi sana wa kuagiza magari Japan kama vile BE FORWARD, STB JAPAN, AUTOCOM JAPAN n.k Ni kampuni gani nzuri unayoijua? Ambayo hawabadilishi badilishi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kuna hisa zinataka kunidodea, sasa nimefikia uamuzi wa kuziuza lakini cha ajabu kila broker ninayemfatilia yupo Dar es Salaam na mimi kwa sasa nipo Arusha. Je ni wapi nitaweza...
0 Reactions
3 Replies
886 Views
kwa mahitaji ya mageti na magrill ya madirisha na milango vitanda vya chuma tuwasiliane.Tunapatikana Kimara temboni 0765987502/0785393613
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, natafuta gari la biashara kwa ajili ya kufanyia uber (sio lazima iwe na plate number nyeupe). Kuleta hesabu tu kila week (kama dereva)
1 Reactions
11 Replies
3K Views
#Opportunity: The Bill and Melinda Gates Foundation is seeking innovative tools and technologies for crop pests and disease surveillance over large geographic regions in low-income countries...
1 Reactions
1 Replies
660 Views
Habari ndugu, nahitaji nyuzi za mkonge,/katani au kudu kabla hazijakuwa kamba mwenye kuwa nazo au anajua zinapatikana wapi. Nahitaji ug-grade zaidi ya Tani 12. Njoo pm au mawasiliano +255717246284
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Tofali imara za kuchoma.Tupo Babati mkoa wa Manyara.Bei Tsh.750/= kwa tofali moja. .Mawasiliano 0623 819177
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Nauza pikipiki aina ya fekoni mayai ni mpya kabisa sifa za pikipiki inatembea na haina tatizo lolote INA vibali vyote na unapewa na risiti kabisa imetumika kwa miezi 6 tu kwa matumizi ya kwendea...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau nina tatizo ambalo madaktari wameniandikia kununua supplements mbalimbali. ambazo natakiwa kutumia kwa muda mrefu kidogo pamoja na aina flani ya chakula. Sasa ningependa kujua duka gani...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Natumai mmeshinda salama wakubwa! Nategemea kuanzisha biashara ya vyakula/mgahawa hivi karibuni ila bado sijapata eneo zuri la kufanyia biashara hiyo.. Nimeonyeshwa bar moja ipo sinza inaitwa...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Jipatie mchele safi toka wasambazaji maarufu kyela star kwa bei ringanishi. 0719399683
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau kuna muhogo mkavu, ni muhogo usio mchungu umemenywa ukakaushwa upo vizuri ningependa kujua bei yake jijini mwanza na iwapo soko la kuweza kuuza linapatikana.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
kama maelezo yanavyojieleza hapo, nyumba haina tatizo wala mgogoro wowote inaishi familia ya mtu mmoja ina ROOM 4, Inafaa sana kama mtu ana malengo ya kumiliki hapo ili aje kupandisha jengo la...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari! Nahitaji chumba cha kupanga, Maeneo ya Ubungo, Mwenge au Makumbusho! Sifa: 1. Chumba kiwe Self-contained yani yenye choo ndani! 2. Kisafi kwa maana hata kama sio kipya lakini...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa anayehitaji usafiri wa haraka baskeli inauzwa bei 50,000.
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Hii ni taasisi inayotoa elimu nyumbani (education service at home) na yenye mwalimu wa kutosha wenye taaluma ya ualimu .tunafundisha masomo ya shule ya msingi na sekondari.kidato cha kwanza hadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna gari limetusumbua hapa na kinachohitajika ni oil pump. Tumezunguka Gerezani, Buguruni, tumeongea na mtu mmoja akiwa Mbeya naye kaonyesha hana hicho kifaa. Vilivyopo haviendani na...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom