Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Viwanja vinauzwa Kwa mkopo wa mwaka mmoja usio na riba wala dhamana , Viwanja vipo MADALE,GOBA,KIGAMBONI,VIKINDU, Na pia kwa wale wanaotaka kupimiwa viwanja na kutafutiwa hati mmnakaribishwa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Gari namba (DDA) Full A/C Kilometers: 100,000 Engine: vvti Bei: 10mil.(millioni kumi) maongezi yapo. +255 693-204813 +255 757-482042 +255 717-671240 KARIBUNI
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Habari wana jamvi, naomba mwenye kufahamu wapi naweza kununua Mtumba grade one wa watoto (Nguo pamoja na Viatu). Nahitaji kununua kwa jumla (belo). Asanteni kwa ushauri mtakaotoa.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Nijikite moja kwa moja kwenye mada. Ninatafuta chumba Mkoa wa mwanza wilaya Ilemela, gharama isizidi 50,000/=. Kwa yeyote ambaye anaweza kua na namba za dalali au kunisaidia...
1 Reactions
1 Replies
754 Views
Niuzie freezer ndogo ya biashara, iwe haijatumika sana, ukiwa na risiti ya manunuzi itapendeza zaidi. Bei isiwe zaidi ya laki mbili na nusu. 0752399070
0 Reactions
7 Replies
38K Views
Wale mabingwa wa ufugaji wamekuja tena kukuuzia Bata bukini wazuri ambao ni wakubwa na wanataga wanapatikana kwa bei nafuu, kumbuka yai moja la bata bukini linauzwa 50000 hivyo basi mnunuzi...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Bei ni milioni 5 ( milioni tano) maongezi yapo Ni pistone 3 Full A/C Full vibali Full documents Gari haijawahi kupigwa rangi wala kupata ajali Tairi zote nne ni mpya pamoja na spear tairi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu za siku? Natumaini wote hamjambo. Mimeona niseme hili, linaweza kunufaisha watu kadhaa ambao either wana mtaji au wanahitaji professional Documents za kuombea hela (funding & grants), au...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta watu wenye uzoefu wa BIASHARA ya mbwa ninahitaji kushare experience nao. Mimi ninao Germany sherpherd na pet dogs
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi ni agent wa kampuni ya BRITAM INSURANCE wakuu nilikua naomba mtu mwenye gari au magari anahitaji insurance iwe comprehensive au third party anitafute nitakja sehem alipo nimkatie insurance...
2 Reactions
72 Replies
10K Views
I have a company doing hospitality management, I am currently managing two properties in Ngorongoro and Serengeti. I am looking for a partner who can pump in USD200,000 which will be swiftly...
0 Reactions
2 Replies
622 Views
Naomba anayejua anielekeze ninapoweza pata rooting hormone itakayofaa kuoteshea stem cuttings za baadhi ya miti ya matunda
1 Reactions
3 Replies
646 Views
Vehicle details : Make : Toyota Model : townace Noah Year of manufacture : 2000 Engine capacity (cc) : 1990 Fuel used : petrol Date of issue : 18/07/2018 Date of expired : 17/07/2019 Tare...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sisi wazawa wa dar es salaam na hasa watoto wa mjini..kwa kawaida baada ya mizunguko yoote na stress za mjini jioni tunajumuika kwa mama kamche pale mwenge kupata moja moto moja baridi. Hapo...
3 Reactions
49 Replies
7K Views
viwanja vinauzwa nyamagana kijiji cha luchelele karibu na dolphini lodge viko vitatu mita 16×30, vyote vipo sehemu moja vina hati. bei M6.5 kila kimoja, maelewano yapo simu 0753155934
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja Muungano Barabara ya Mwanza/Singida. ukubwa - Miguu 28 kwa 25 umbali - 2.5 km toka Barabarani Hakijapimwa ila wamehakiki Bei-milioni 1.3 Kama uko interested niPM
0 Reactions
17 Replies
1K Views
MBISERE POULTRY FARM Ni mzalishaji wa vifaranga chotara wa kuku .( wanapatikana kwa idadi yeyote) Ni kuku wanaovumilia magonjwa. - Wantaga mayai mengi. - Wanastahimili magojwa. Vilevile...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nauza keyboard cha studio, M AUDIO keys 49 Bei 280,000/= Kinafanya kazi vizuri ila solutions yake imeisha, unaweza kuweka sio ghari hata kidogo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HOUSE FOR SALE AT BUNJU B. Price: 50 milion Tsh. Location: Bunju B 650M from Bagamoyo Road. Plot size: 400 Sqm Accomodation: 4 bedrooms (1 self contained ) with a lounge, kitchen, dining...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom