Habari wadau,niko mbioni kufungua car wash yenye kuhudumia magari madogo na pikipiki,nahitaji msaada wenu nitapata wapi mashine nzuri za kuoshea(pressure machine)hatakama used bei zake zikoje na...
Wapendwa,naombeni kujua wapi naweza pata mayai ya kuku hawa wanyama,yenye uhakika na kutotolewa pia gharama kwa trey,na mkoa yalipo naomba kuwasilisha asanteni
Naomba mnisaidie kumtafutia mdogo wangu vyumba viwili maeneo hayo ,sababu ni karibu na kituo chake cha kazi.Anategemea kuhamia tarehe 15 mwezi huu wa 11,2018
Habari wakuu
Kwa yeyote mwenye connection na dalali au mtu mwenye nyumba ya kupangashi moshi naomba msaada wa kuunganishwa nae.
Nimehamia Moshi na nimejitahidi kutafuta nimekosa.
Budget...
Nahitaji incubator ya kuchukua mayai 1500 au zaidi ya kichina,yakutumia sola na umeme wa tanesco,naombeni nisaidiwe wap nitapata,na kwa bei yake ikoje ,nipo mkoani,wafanyabiashara wababaishaji...
Wakuu, bidhaa tajwa inauzwa hapo juu
Size= 5 * 6
Ni cha mbao (Mninga)
Sababu za kuuza= Shida za dunia
Bei 140,000/= Negotiable
Location; Mbezi Africana
Contacts; 0767819499
Mimi nina biashara ya duka
Na mostly hua napenda kusikiliza mawazo ya wateja na kuyafanyia kazi
Walihitaji voda vocha za kurusha...nkafanya research na nkawaletea
Walihitaji pia...
Habari za kazi ndugu zangu. Mimi hapa ni muhitimu wa chuo nimekuja kwenu kuulizia ni taasisi gani ya kibenk inayotoa Mkopo wa bajaji au gari aina ya carry(kirikuu) kwa kuwa ndio biashara ambazo...
Natafuta nyumba ya vyumba viwili na sebule. Choo cha kujitegemea.
Yenye tiles. Iwe eneo ningependelea ilazo, kisasa au nkungu. Kama sio basi iwe hata nje ya mji ila sio uswahilini.
Nyumba shart...
ina miezi minne tangu inunuliwe! ina private plate number
imetembea km 1755 tu
bima yake inaisha june 2019
ina card risiti ya kununulia na risiti ya bima
ni ya kuwqsha na kuondoka
ipo Mbezi...
Hii si ya kukosa. Ni tar 03 Nov 2018 yaani jumamosi. Kutakua na offer kabambe kwa wale wapenda sandwiches ukitembelea mgahawa wa SUBWAY. Siku hiyo kutakua na offer ya double the feel good. Yaani...
Brandnew iPhone 7 plain
32gb
Mattblack
Full original accessories zote zipo
Napatikana dar es salaam na sehem yoyote natuma
Price:970k
Contact:+255 656 629 061
Tunahitaji mzani mkubwa wa takribani tani 10 kwa ajili ya kupimia magari kiwandani kwetu, kiwanda kipo Dar es Salaam.
Mzani uwe umekamilika, uwe na vibali vyote pamoja na platform yake!
Only...
Naomba kujua aina gani ya Camera Ina quality nzuri ya picha zake. Nahitaji kuanza ka biashara kadogo ka kupiga picha na passports size.
Wazoefu wa mambo haya naomba mnisaidie Sasa nijue nanunua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.