Acha kufua kwa mikono kuwa kidital zaidi kwa kutumia mashine ya kufulia nguo
Uwezo kg 7
beand Hotpoint
motor power watt 380
inafua kusuuza na kukamua pia kukausha kwa nguo nyepesi by spin drying...
Habari, naomba nisaidie waungwana nimepewa kazi nitafute kila mkoa namba za simu za bajaji, pikipiki na tax majina ya huyo dereva na anapopaki.
Dhumuni la kufanya hivi ni tukiwa na wateja wetu...
KIWA KINAUZWA KINA UKUBWA WA SQUARE METRE 1054 NI MAKAZI NA BIASHARA, KINA HATI UMEME NA MAJI JIRANI, NI METRE 400 KUTOKA BARABARA YA DAR- MORO ENEO LINAITWA MSUFINI MAMLAKA YA MJI MDOGO MLANDIZI...
Wakuu, Nahitaji transformer used kubwa kwa ajili ya kiwanda. Iwe nzima na inafanya kazi
Ikipatikana kati ya 15/10/2018 itakuwa bora zaidi.
Mawasiliano 0764931111
True Ink Associates would like to announce the CISA (Certified Information Systems Auditor) review class will start on 02/05/2016 at DSM City Center Raha Tower Building .The course duration is 5...
Nina duka la vyombo vya ndani jikoni na mapambo vya kisasa kbs mfano sufuria ambazo hazipoozeshi chakula na vingine vingi unaletea au kutumiwa ulipo bea nzr njoo Dm ukipenda
Wana JF
Nimerudi tena kutangaza kuuza nyumba hii (Unfinished House kwa bei nafuu sana.Nyumba ina hati na ipo Madale. Ramani ya Nyumba ni Ghorofa moja ikiwa na Lounge, Kitchen, Store, Lobby, Pantry...
Ni simu nzuri ina miezi mitano tokea niinunue. Ina risiti na kila kitu chake mpaka box lake.
Bei laki mbili na 30 tu karibu sana 0655101826
Mzigo uko ndani ya dar!
Uyoga mwekundu au ganoderma ni aina mojawapo ya uyoga ambao ni mgumu na wenye ladha uchungu umekuwa ukitumiwa kwa miaka mingi na nchi kama vile China kama dawa na kuboresha afya kwa ujumla...
Hellow,mambo vip wanajukwaa,mimi ni mwandishi wa vitabu mbalimbali vinavyohusu mtazamo chanya katika maisha,nimekwisha andika vitabu kadhaa lakini ndoto yangu kubwa ni kuviuza kimataifa kupitia...
JIPATIE BIDHAA ZIFUATAZO KWA BEI RAHISI KABISA KUTOKA ZANZIBAR.
1. TV Flat
Inch 32 Aina Star X zenye King'amuzi bei 350,000
Zipo Inch 40,50 na 55
2. Passi Philips bei 32,000/=
3. Rice Coker...
Nahitaji earphone used au mpya kabisa iwe original kutoka samsung na kama unayo tuwasiliane chap kwa whatssap namba hii 0677991687 . Niko mwadui shinyanga ila nitagharimia usafiri msingi ifike...
Salaam,
Nyumba inapangishwa,ina vyumba vitatu vya kulala kimoja miongoni mwa vyumba hivyo ina choo na bafu vingine vilivyobaki vinatumia choo n bafu moja.
Ina jiko,sebule na sehemu ya kulia...
Nyumba inauzwa msamala songea, INA vyumba vitatu vyote self, master bed room kubwa with bath sink, imejengwa na burnt bricks with cement motor, floor tiles finishing, gipsum roof, hot and cold...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.