Hii simu ni used ninaitumia mwenyewe. Ukubwa ni Gb 64 internal memory rangi ya gray ina crake nyuma ila kioo ni kizima kabisa.
Nauza pamoja na ear buds Tsh 290,000 lakini kama unahitaji simu...
Samsung galaxy jean 2 bado mpya nimetumia miezi mitatu tu tangu niinunue, naiuza 200k nipo Iringa mjini, ukitaka kufanya exchange na kitochi bei inapungua kidogo, ni simu yangu hakuna dalali.
Nauza IPhone 7 Plus
Color:- Rose gold
Storage- 32gb 3gb
Battery Health:- 100%
Display:- 5.5 inch
Condition:- Neat and no scratch
Location:- Mbezi luis ,Dar es salaam
Contact:-0756248745
Waungwana najua shida kill mmoja wetu humpata nakuamua kuuza kilicho chake hatakama anakipenda kiasi gani ili kimsaidie hivyo na mimi msaada wa kutatua tatizo langu nimeamua kuuza simu yangu...
Samsung Galaxy A32 4G for Sale
Korean version In partnership with LGU+
Condition: Used but in excellent condition
Memory capacity: 64GB
Colour : Powder Pink
Display: 6.4inch Super AMOLED
RAM: 4GB...
Habari nauza Samsung Galaxy S21 5G simu ni mpya kabisa full haifunguliwa
RAM 8GB
MEMORY GB 128
MADE VIETNAM
Price mil 1,350,000
Location mlimani city
Contact 0714787795
OFFA OFFA
iPhone 7 plus,
450,000 Tsh.
iphone X
600,000 Tsh
Iphone X Max
750,000 Tsh
Simu hizi ni mpya new, zinakuja toka china.
Weka order yako haraka. Pesa utalipa baada ya kupewa simu...
USED GOOGLE PIXEL N SAMSUNG S9, S9 PLUS.
SIMU PEKEE NO ACCESSORIES.
CALL 0693225605.
pixel gb 64! na 128, Android 12.
Simu nzuri sana jamani.
niungeni kijana wenu nisife njaa...
Samsung J5
Used kiasi
Memory 32gb
Chaji inakaa masàa kuanzia 8
Nakupa na charger yake
Bei sh 150,000...mazungumzo yapo
Iko Dar
0714796778 au 0628615685
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.