Habari Wakuu,, Nauza Smartphone yangu Infinix hot 12 Play.
ROM GB 64
RAM GB 4 +3=GB 7
Battery 6000mAh
Simu Haina Shida yoyote ile na Pia inakaa sana na Chaji, Nmeitumia Mwezi mmoja tu na...
Habari wanachama wa jf, nauza simu yangu infinix hot 11 ya gb 128
Naiuza Nina shida na hela
Simu aina tatizo lolote ipo safi kabisa
Gb 128
RAM 4 unaongeza hadi ram 7
ANDROID 11
CAMERA 50 MPX...
nina smartphone aina ya oppo r7 plus yenye sifa zifuatazo:-
64GB storage
4GB ram
6.6 inches display size aina ya omoled yenye graphic kali sana
13mp back camera yenye kuonyesha kitu katika ubora...
Simu mpya toleo la POP 7 imeweka rekodi ya mauzo baada ya kuuzika simu zaidi ya 5000 ndani ya muda wa mwezi mmoja kwanzia ilivyo ingia sokoni. Hii inaonesha jinsi gani mapokezi ya toleo hili la...
Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 60,000 tu
*Screen (5.7 Inches)
*Battery (3020 mAh)
*RAM (1.00 GB)
*Storage (16.00 GB)
*3G/2G auto
Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na...
Je,Una Bajeti ya Laki 350k na unahitaji Simu yenye Camera Nzuri inayokaa na Chaji??
Njoo nikuuzie Simu yangu TECNO CAMON 19, Bado Mpyaa kama unavyoiona
[emoji117] 64MP camera, 5000mAH battery na...
Iphone x
GB... 256
Full box
Bei ni 574,000/=
Zingatia•• biashara ni dukani kariakoo ukitaka kutumiwa mkoani au ulipo sawa
Ukiwa Dar unakuja dukani au unatumiwa.
Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 70,000 tu
*Screen (5.7 Inches)
*Battery (3020 mAh)
*RAM (1.00 GB)
*Storage (16.00 GB)
*3G/2G auto
Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na...
Habari Ndugu!
Ikiwa tume uwanza mwaka mpya basi nasi tunataka tukuhudumie kwa viwango vya juu kabisa kwa mwaka huu kwa kuwaletea matoleo mazuri zaidi na ya kisasa.
Leo tujadiliane kitu kimoja...
Nauza simu yangu aina ya samsung jean 2, gb 32 ina hali nzuri sana, bei laki moja na nusu (150000). Nipo iringa mjini kwa ambae yupo mkoani naweza kumtumia au anaweza kuagiza mtu ambae yupo Iringa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.