Naitwa Sanctus Mtsimbe na naomba niungane na wana JF wengine waliojitambulisha kwa majina yao halisi na kuomba tuweze kuungana na kufanya mambo ya kimsingi katika kuleta maendeleo ya nchi yetu...
Kisiwe mbali na lami, yaani isizidi 3km.
Ukubwa usipungue 30×35 au around hapo.
Kiwe tambarare.
Pesa ipo kwenye mfuko wa shati. (Kama bei itakuwa reasonable).
Sifa za chumba
Kiwe kidogo
Kingae, I mean kipya kipya na vigae chini.
Wilaya ya ubungo au kinondoni
Mazingira kidogo ya rami (isiwe uswahilini sana)
Umeme masaa 24 (labda mpaka tanesco wakate)...
Tunahusika na uuzaji wa magari mapya kutoka mataifa mbalimbali. Tunauza kwa bei ya mnada.Bei zetu ni nzuri na nafuu sana.zifuatazo ni baadhi ya picha za magari tuliyo nayo,kwa maelezo zaidi piga/...
Habari wapendwa,
vimebaki vifaa vichache vya stationery, nauza kwa bei nafuu.
1. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box...
Details with Specifications and pictures are attached-
In addition:500 GB
Reason of selling it:-
Double Gifts and is almost new
Price: Tsh:700,000 Net
Include:-
(Laptop+Power Supplies+ Bonus LTE...
1. Spea ni genuine zimetolewa kwenye gari kama yako iliyotumika Dubai
2. Gari zikizotumika Dubai ambayo tunauza vifaa vyake nyingi watumiaji wake walinunua zero km na ndiyo maana vifaa vyake...
Habarini wandugu,
Naomba mwenye account ya bolt na haitumii aje pm tuongee.
Nina ndugu yangu amepata gari ila mwenyewe amegoma kuibadili plate number hivo haiwezekani kuwa na account.
Hivyo...
IPO IPHONE 14 PRO MAX COPY KWA 170,000 TU,RISITI YAKE IPO NA INA CRACK KWA NYUMA VINGINE VIPO FRESH SANA,INATUMIA ANDROID ,STORAGE 512GB
IPO USED AQUAS 701SH KWA 50,000 TU,RISITI YAKE IPO HAINA...
P. Mashine yangu imeeandika error 000733000 na NImeambiwa kuwa Dc controller imeungua hivyo wenye spare hiyo au duka linalouza tuwasiliane. Maexpert wote karibuni kwa ushauri.
Taa ya kuua Mbuu Na Wadudu mbalimbali
Ni Ya Kuchaji
Inaua Mbuu Na Wadudu mbali Kwa Shoti Maalumu
Haina madhara kwa binadamu,
Ikishachajiwa na kuwa full chaji inaweza tumika masaa 48
haina gharama...
Habarini za leo wakuu? natafuta nyumba ambayo naweza kuifanya office
Sifa za nyumba, iwe inajitegemea, iwe barabarani(iwezwe kuelekezeka, na iwe wilaya ya kinondoni(kawe chini, Mbezi Beach...
VIWANJA, VIWANJA.
viwanja vinne vikubwa vinavyouzwa katika eneo la Turiani, Morogoro vyote vipo block b karibu na barabara kubwa,Viwanja hivi vina ukubwa wa square meter 1150, 1270, 1149, na...
Habari wadau,
Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media...
Mashine ya kukamua na kuchuja juisi ya miwa inauzwa Ipo Mbeya Mjini popote inatumwa
Bei yake: 1.6 M.
📞📞 & Whasap 0757687358
Whasap & call 0757687358
Specification zake
1.size...