Habari wadau.
Nina gari Vitz old model. Engine yake inasumbuasumbua inahitaji either fundi makini au half engine au engine mpya.
Half engine nimeambiwa mil 1. Engine kamili mil 2. Mimi nimefulia...
TOYOTA ALLION (DRG) MPYAA SANAA PRICE MIL 12
Make: TOYOTA
Model: ALLION
Engine code 1nz
Engine capacity; 1490 cc
Mileage: Low Mileage
Full ac
Full documents.
Transmission; Automatic
Imported...
Ipo gari aina ya Toyota hiace inauzwa kwa bei ya 22M na laki 3 maongezi yapo gari ipo katika hali nzima kabisa...Full a/c
Pia gari inapatikana Dar es salaam kuja na fundi hukatazwi karibu sana...
Kama una ndoto ya kumiliki sedani ya injini kubwa barabarani basi nmekusogezea hapa mashine hii makadilio ya kuichukua kumbuka huyu ni mnyama zaidi ya mnyama maajabu yake yanayosimuliwa kwa crown...
✍🏾Kwa jina Naitwa CECE motors. Najishughulisha na Uagizaji wa Magari mapya aina zote na nchi tofauti tofauti kama Japan,UK,Dubai, Singapore, e.t.c
👉🏼Pia Nafanya Clearing and Forward Agent Kwa...
Hapa utakutana na magari ya aina tofauti tofauti na bei ya kipindi cha Magufuli.
Magari kuanzia namba A mpaka D za mwishoni
Utapata chassis kutoka Japan na ukihitaji kutoka Zanzibar utapata pia...
Habari ya mchana waungwana, gari hii hapa haina shida yoyote ni nzima kabisa.
Gari ipo Goba njia ya kwenda Madale.
Bei ni 9.5 pekee.
Ukitaka kuiona, kukagua na kumaliza ama picha zaidi nicheki...
Gari ya kisasa Harrier New model inauzwa ni nzima kabisa.
Piga 0754-394195 chap uichukue bei 65m maelewano yapo,
Year of manufacture 2015
Odometer km 23670
IMESHUKA BEI
TOYOTA VITZ
Full A/C
Cc 990
4 piston
No mechanical problems
imebadilishwa rangi
Bei: mil 4.5
Simu- 0713096076
ipo kawe, Dar es salaam.
Serious customers dont comment. Pls call asap
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.