Habari wakuu
Land Rover Defender 110
Gari ni ya mwaka 2000
Documents halali zipo
Nzima, kila kitu kiko sawa
Bei 35 Millions
Gari iko Sinza, Dar es Salaam, kwa aliye interested karibu sana na...
Njoo Na Tzs 39.7M Nikuweke Humu Ule Raha[emoji38]
Toleo La Mwaka 2006
Kwa Upande Wa Transmission Ni AUTO
Imekuja Na Engine Inayotumia Petrol Inayofahamika Kama 2TR
[emoji736]Imelipiwa...
Habari za leo waungwana? Nauza gari hii. Ni Carina AT 190 Manual. Gari inatembea vizuri kabisa na mimi ndiye mmiliki. Ina CC 1590, vibali vyote vipo. Inapatikana Busega (Nyashimo) Simiyu. Kilomita...
Habari wa jukwaa (jamii)
Napenda kuwakaribisha kwa wale wenye uhitaji wa containers kwa ajili matumizi mbalimbali.
Containers zipo za 20feet na 40feet
Kuna used from Japan zilizotumika hapa...
Hi wakuu,
Kuna nagari kemkem,yapo kwenye hali nzuri na kiwango...
We niambie unataka gari gani na budget yako ni ngapi?Ntapost yaliyopo hapa
Karibu
Serious buyers only!
Tiririka hapa
Ama ujumbe PM
Nauza gari ambayo mteja anaipenda.
Namwachia mteja achague aina ya gari, rangi yake, mwaka na bajeti yake. Kisha nitamretea gari hiyo.
Kwa sasa ambazo wateja wamezitaja sana ni hizi hapa
Type
3 Axles 40 CBM Rear Tipper Semi trailer
Total size
10500x2500x3700mm
Loading capacity CBM
40
Tare weight kg
13000
Specification
Main Beam
Heavy duty and extra durability designed...
Gari bado ipo kwenye hali nzuri saana na haina kipengele chochote wala haijawahi kurudiwa rangi bei milioni sita na laki tano 65000000 Toyota Raum old Model eng number EXZ 10 00 70846 +255625977427
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.