PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako...
Contact: 0747379399
Price: 60,000,000 (negotiable)
Make: Toyota
Model: Landcruiser Prado
Model number: JTEBD9
Body type: Station wagon
Colour: White
Year of manufacturing: 2016
Engine...
Nissan march
Top speed 200
Cc 1400
Bei 5.5 million
BIMA IPO
HAIDAIWIII
Sound option on steering
Full ac na full file
Gari haina changamoto yoyote ile ya ufundi
Ipo dar es salaam , sinza
0784020604
Altezza Lexus
Engine beams 2000
Bei million 4.6
Full ac na document
Gari haina kipengele chochote kile, ipo Dar es salaam.
Nicheki: 0784020604
Maongezi kwenye gari tafadhali.
Pitia uzi huu kila siku utakutana na magari mbali mbali yaliyopo sokoni
Pia kama hujaona, nipigie au nichek WhatsApp kwa aina yoyote ya gari unalohitaji, ninayo mengi, mengine hayapo hapa
Pia...
Naiuza hii nissan yangu haina shida yoyote ila imepaki muda mrefu sababu nipo mkoani kwa muda sasa, hapo inawaka na kutembea bila shaka 2 M tu naitupa.
0787037744.
Ndio,
Nauza Toyota Spacio namba EBC, imetumika kidogo sana inatakiwa m14 tu.
Gari ya muhindi (haina safari) ipo Posta Dar.
Mawasiliano: Call 0783 708437.
Gari ni yangu mwenyewe
Imelipiwa bima kubwa - 1,239,000
Leather seat Safar automotive
New tyres
Km 79,000 - OG
Gari haina kasoro yoyote
Bei 31m
Call/watsap 0715140001
Habari,
Hii gari aina ya volkswagen Golf, engine yake imenok inahitaji ovehaul.
kwa anaehitaji tuwasiliane 0626947625
Gari ipo Mbezi Beach- Shule
Price ni 3.3m
Prado machozi for sale
Bei Mil 90
Engine 2tr
Petrol
Automatic
Location Dar es salaam
Gari mpya sana haijarudiwa rangi kokote
Pigs simu ukaone Gari kwa serious buyer ukaongee nae
0714787795
Habari,
Nauza gari aina ya Rav4 milango mitano. Ipo katika hali nzuri kwa bei ya Tsh. 7m na maongezi yapo.
Gari ipo Kimara Dar es salaam wasiliana nami kwa simu no 0713227823 au 0756844197...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.