Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidogo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya...
Ndugu mdau uliyekuwa ukitufuatilia kupitia mnakasha huu, tunapenda kukufahamisha kuwa kutokana na mabadiliko ya sera zetu, tumelazimika kufungua mnakasha mpya kwa ajili ya magari yanayotoka moja...
Nauza gari yangu, aina ya Toyota IST,
Cc 1200, yani mafuta kidogo umbali mwingi, Gari ni nzuri sana, nimeitunza vizuri sana, bei naanzia 8.8M, maongezi kidogo yapo.
Gari ipo Mwanza, ni cheki kwa...
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidogo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya...
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidgo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya...
Hello comrades,
Brand new howo tipper available with 0 kilometer, for lower price of only 160m plus registration.
Come and grab it quickly.
Only one unit left.
Habari wakuu.
Ninauza Gari yangu Nissan Tilda Namba C.
Engine: cc1490
Gari haitembei Ina changamoto zifuatazo
- Badhi za sensa zimekifa nilimwita fundi akatazama na kubadili sensa, gari iliwaka...
Habari za masiku wakuu? Natumai nyote mpo salama, kwa wale waliotangulia mbele za haki tuwaombee kwa Mungu awaweke pema, na wale wagonjwa Mungu awape ponyo.
Tulipoteana kitambo kirefu kidogo...
ISUZU Bighorn ipo Japan wewe unapaswa kulipia freight 1,000 USD na pesa ya wine 260 USD kwa mmiliki. 3050cc, mileage 239,000 Kms.
Year of manufacturing 1996
Gari nzuri sana.
Nauza bei nafuu, namba D. Engine 33.Tairi mpya, inafanya kazi kama daladala.
Ipo Kitunda Dar es Salaam.
Nipigie uchukue gari nzuri ya biashara: +255 782 425 915
Vitz inauzwa,ipo Ifakara.Ina issue ya engine,engine iliyopo inasumbua sumbua inahitaji matengenezo au mswaki(Msema kweli kipenzi cha Mungu.Biashara za kuambiana uongo zimepitwa na wakati)
Bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.