TOYOTA LANDCRUISER LC 200
YOM 2009 MODEL
1HZ ENGINE
MANUAL
INAPATIKANA DODOMA
BEI MIL 55,000,000/=
NOTE: INAINJINI YA 1HZ AMBAYO UNAWEZA VUA UKAWEKA 1VD
Haya wazee wa miradi au mikodisho chuma...
Habari.....
Nauza kifaa chakukaangia vitu...(yaani chips,samaki,maandazi n.k)
Kimetumika sio kipya..
Nauza sababu sikitumii nahofia kitaharibika
Kinapatikana shekilango karibu na ofisi za shabiby...
Dell latitude E6400
Hdd-160gb
Ram-4gb
Core2 2.53ghz
Display-Nvidia quadro 2gb
Battery-2hrs
Changamoto ilo doa jeusi kwenye screen
Bei 130000/=
Mawasiliano 0759399805
ipo dar pugu kona
Ni router inayotumia single sim card ya Halotel, ipo na box lake ila imetumika kidogo
Bei Tsh 40000
Location: Mwanza
Charger haina, ila inatumia charger ya simu
Halotel wanasema kifaa hiki kina...
👉🏻Lina mfumo wa OXYGEN unaofanya vyakula, mboga na matunda n.k visipoteze LADHA yake halisi hata ukiviweka kwa mda mrefu.
👉🏻Lina Touch Display inayo onyesha Temperature unaweza chagua ligandishe...
Knauzwa milioni 18 maongezi yapo, ipo Morogoro mjini, Kilakala.
Mawasiliano: 0627518825. Imetumika misimu miwili.
Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Kama mjasiriamali na mtaalamu wa huu ujuzi wa usindikaji wa vyakula, kwa miaka takribani kumi nimewasaidia watengenezaji wa wine na pombe kali kwa kuwapa formula kamili na rahisi za kutengeneza...
Mwenye kujua njia rahisi anielekeze hapo.
Je, madalali wa Dar wanasomeka?
Maeneo ya Sinza, Mwenge karibu na Kanisa la RC au Magomeni karibu na Kanisa la RC
Wadau,
Nahitaji shamba kwaajili ya kuweka mifugo (mbuzi na ngombe), wilaya ya Chemba (Dodoma) hasa maeneo ya Soya au kokote kunakofaa kwa ufugaji mbubwa heka 5 na zaidi.
Naomba muongozo.
Anahitajika fundi pikipiki mwenye uzoefu wa kutengeneza pikipiki aina zote.
Awe mkazi wa Dar es salaama itakuwa vzuri kama atatokea maeneoa kazribu na ilipo office.
Location ni Makumbusho karibu...
Mwalimu mahiri katika somo la hisabati shule za msingi, anafundisha katika shule ya msingi Misitu Kivule ilala dar es salaam ila katika Kipindi hiki cha likizo atakuwa anamfuata mtoto alipo na...
LAPTOP : DELL INAUZWA IPO. MOSHI MJINI MAENEO YA KCMC CHUONI , MAPIPA ROAD.....INA RAM 8GB , ROM 1 TB SYSTEM TYPE NI 64 bit , ..INATUMIA WINDOW 10 Pro...
Bei LAKI 9. CHARGE HOURS 6 HRS...
wadau nahitaji kuchukua coaster used ili niingie kwa biashara ya usafirishaji kwa mtu mwenye uzoefu katika biashara hii naomba kufahamu bei za coaster na mchanganuo mzima katika biashara hii?
Kuna ndugu yangu anatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwasenga, Businde. Ndani ya manispaa ya Kigoma Ujiji. Chumba kiwe kikubwa tiles, gypsum, maji na umeme.
Kukiwa na geti ni sifa kubwa pia...
Kwa wapendwa wote wanaopenda viwanja katiti tunavyo 20 kwa 15 kwa ml 3.5 karibuni wote pigeni
0699-22-79-42
Karibuni Wote xmass hiyo na punguzo la bei ukitaka eneo mahali Arusha to boma call me
Kwa yeyote mwenye kuhitaji Fridge yenye nafasi kubwa ya kuweka vitu na uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu kwa matumizi nafuu ya umeme basi anitafute kupitia namba hii
0673 17 5000
Bei yake ni Tsh...