Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Kuna mzee anauza shamba la mitiki lenye ukubwa wa hekali 7. Mitiki imekuwa imefikia ukubwa kama nguzo ya umeme kwa unene. Mzee anahitaji mil 22 tu, umri umemtupa mkono anaona ni bora ale...
0 Reactions
3 Replies
716 Views
Habari wadau nauza maharage mapya mazuri ya njano kwa bei ya jumla. kilo moja nauza shilingi 2500. Mzigo upo tani 2 na nusu asante. Tuwasiliane kwa namba ya simu +255789740368
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana jf nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 50 lipo Dodoma wilaya Chemba kijiji cha Majengo kata ya Parang. Umbali kutoka barabara kuu ya Dodoma Arusha ni km16 bei ni sh.250000/= kila ekari...
0 Reactions
118 Replies
13K Views
MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS (2 DAYS | 1 NIGHT) *TAREHE 16-17th December 2023 GHARAMA, 155,000/= SAFARI ITAANZIA DAR *ITAHUSISHA -Malazi -Usafiri kwenda na kurudi -Chakula...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Habari, ninauza gari yangu aina ya Toyota Vitz New Model namba D'' Cc 1290 piston 4 ipo Mwanza bei ni 6.8M maongezi yapo, Piga cm 0717072172
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za wakati huu; Je wewe ni Mmiliki wa Bar au Restaurant na Maeneo mengine ya Burudani?Je ungependa kuwa World Class Service Provider na kufikia Wateja wengi zaidi huku ukiongeza Ushindani...
1 Reactions
0 Replies
740 Views
Nauza vitanda na magodoro yake, ni vitanda double deck vina magodoro yake tayari. Size ni 3x6 Mbao ni Pine na Cyprus Bei 100,000 na godoro lake. Location: Dar es Salaam Waweza nipigia...
0 Reactions
6 Replies
448 Views
Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako. Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Kila mara Remitano imekuwa ikithamini na kushukuru watumiaji wake waaminifu na wanao support bidhaa na huduma zao, hasa wale wanaopendekeza bidhaa na huduma zao kwa marafiki. Kwa kutambua hilo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari ninauza simu ambayo inaitwa jina tajwa hapo juu , Specifications: 1..Internal memory 128GB , 4GB RAM, UFS 2.2 - 128GB 2..MAIN CAMERA Quad 48 MP, f/1.8, 26mm (wide)...
2 Reactions
0 Replies
371 Views
Habari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu, Ninaomba kama kuna mtu ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Shalom! Jana nilipata wasaa wa kuzindua kitabu changu cha mfumo wa pdf, kinachoitwa "NJIA PANDA YA USAWA WA KIJINSIA"; kuandika kitabu hiki kumetokana na mguso niliopokea kutoka kwa namna jamii...
1 Reactions
1 Replies
240 Views
Habari, Tafadhali husika na kichwa cha habari. Kwa mawasialiano zaidi njoo WhatsApp 0742666736
2 Reactions
2 Replies
645 Views
Bonjour Natafuta mayai ya kisasa, Kwa bei ya jumla, ingependeza nipate direct kutoka Kwa mfugaji .. Yawe na sifa ya ukubwa na kiini Cha njano Uwe dar es salaam 0742596431
1 Reactions
2 Replies
482 Views
Panasonic Lumix gh4 with lens (45-150m)🔥🔥🔥🔥🔥bei ya ofa Kwa 1,550,000/= ukashoot 4k video 0716917896
1 Reactions
0 Replies
326 Views
Habari wana JF Members, Nna bajet ya laki tatu na Nusu, nafikiria kutafuta simu ya Redmi 12 yenye Gb 128 storage. Gb 8 RAM au naweza kupata Samsung kali yenye sifa hzo yaani ( gb 128 storage, 8...
0 Reactions
2 Replies
642 Views
Wakuu habari, inahitajika gari aina ya Rav 4 Old Model, iwe Long chassis ama short chassis, kuanzia Namba B BAJETI: Tsh 7,000,000 (Milioni 7). Iwe katika good condition! Location ni Dsm. Kwa...
0 Reactions
8 Replies
897 Views
Wakuu nahitaji chumba cha kupanga kiwe Tanga mjini mtaa wowote ule kiwe chumba kimoja ambacho kinajitegemea tafadhari niambie bei yake hapa baada ya hapo nitumie namba PM. Ova.
1 Reactions
2 Replies
937 Views
Audit and assurance services are crucial for businesses in ensuring financial transparency, compliance with regulations, and maintaining stakeholders' confidence. Hellen & Jeff Consulting Group is...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Engine: 1NZ vvti Capacity: 1490cc . Location: Shekilango - Dsm . Call: 0719 143475
0 Reactions
1K Replies
149K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…