Wadau nahitaji mbegu bora za papai aina ya Carina na mwenye kuzijua vizuri anipe ujuzi namna ya kuandaa Miche na huduma zake hadi kuvuna.
Shamba ni ekari moja na nusu.
Wadau nimejaribu kupitia Alibaba naona kama bei ya magari ni mchelea kuliko huko kwingine, najiuliza kwanini watu hawaagizi kupitia Alibaba
Check out this product on the Alibaba app: NEWLY USED...
TANGAZO TANGAZO
Kampuni ya AQUARIAN PROJECT SOLUTIONS iliyoko jijini Mwanza kupitia LILIAN KITCHEN CATERERS na DW CLEANING SERVICE inapenda kutangaza nafasi za ajira kama ifuatavyo
Nafasi 20 za...
Tunahitaji wafanyakazi wa kike/Kiume kuhudumu katika pub iliyopo Kinondoni, barabara ya Mwananyamala Dar es Salaam; awe na elimu ya kidato cha 4 au Cheti; uzoefu wa Kazi; umri miaka 18 hadi 30...
Habari za majukumu wananch!.
kuna mzee mmoja anauza eneo lake alinifata mimi akijua nina mpunga,kumbe siri ya mtungi naijua mwnyewe..
eneo ni tambarare
ukubwa 30m*70m
Bei mil 24.5...
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe...
Oven+jiko la umeme linauzwa ni jipya bado. Maana risiti ya mauzo bado ipo
Mawasiliano. 0672701329 .....bei ni 230,000/= lipo moshi mjini...free delivery included
Kama picha inavyoonekana full...
Habari wanajamii forum wenzangu kama kichwa cha madaa kinavyojieleza, Mimi ni kijana wa kiume wa kitanzania mtafutaji na mchakarikaji. Nimefanikiwa kufungua biashara na kupata documents zote za...
Tutakayojifunza:
(a) Lengo kuu la programu.
(b) Shabaha/Fokasi ya programu ya leo.
(c) Ufafanuzi wa Fokasi ya programu.
(d) Sababu za uwepo wa fursa kwa kila taarifa.
(e) Dondoo muhimu...
Wapendwa wateja tunavyo viwanja na heka maeneo yafuatayo.
Kikatiti , Maji ya Chai, King'ori .
Viwanja vya king'ori vinaanza kwa ml 4.5.
Kikatiti viwanja vinaanza ml 4. Maji ya chai ni ml 7 mpaka...
Wakuu, natafuta mabingwa wa kupiga rangi body ya gari irudi kwenye upya wake kama ndo imetoka japani Leo.
Wapi nitawapata? Gharama siyo issue ila ubora ndiyo nautazama.
Msaada tafadhali
1. Usajili wa Kampuni
2. Usajili wa Majina ya Biashara
3. Kuhuisha Taarifa za Kampuni zilizosajiliwa kabla ya 2018.
4. Upatikanaji wa leseni na vibali mbalimbali.
5. Kufanya Filling ya Annual...