Ndugu habari
Mimi ni kijana mwenye ujuzi na excel sasa nmeona pengine naweza kuufanya ujuzi huu kuwa huduma na kupata chochote kinisadie hapa na kule.
Nina ujuzi na excel na ninaweza kutumia...
Nina nissan caravan yangu. Super roof.
Sina muda wa kusimamia kwa hapa dar.
Nahitaji wa kuingia mkataba awe na shughuli binafs kama shule au supllies kwa humu humu jijini. Dereva ni wake...
Chumba kimoja na sebule
Ukubwa wa kiwanja 17 kwa 15 mita
Eneo ni Mvuti kutoka stend mpaka kwenye nyumba ni dakika 5-7 ukitembea kwa mguu.
Bei 3.5 milion
Bei ya one coin moja ni shilingi za kitanzania 31,000/, ila nimeamua kuuza kwa bei ya offer 25,000/. Kwa anae hitaji tuwasiliane kwa simu no 0657 22 44 25.
Coin ziko 1000, (25,000 * 1000)...
Nauza kiwanja changu niki kizuri kipo Iringa mjini maeneo ya Tagamenda karibu na shule ya secondary Tagamenda
Ni kilomita chache kutoka ipogolo stand
Hatua 28 kwa 20
Bei Tsh 1,500,000...
FORWARDED
"12-11-2016 05:00hours
Habari za muda huu?,nimeibiwa gari muda huu Kibaha ndio tupo njiani tunatafuta gari namba T771 DAG. IST.Tafadhali naomba unisambazie msg hii...
Habari
Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000.
Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa...
Je? Unamiliki biashara ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kufikia wateja wengi,kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali.
Wasiliana nasi Leo tutakutengenezea website kwa...
Habari za wakati huu;
Maisha ni safari. Katika safari hii tunapitia mengi,mema na mabaya.Wakati mwingine kuna ambayo yanatupata ambayo tunaweza kuyazuia/kuyafanya yawe vile tupendavyo na kuna...
✓Unawezekana gari yako imeanza kutumia mafuta mengi kuliko ilivyokia awali
✓Au inakosa nguvu kwa namna yoyote Ile na haujui nini cha kufanya
✓Tafadhali usisite kutupigia simu ili kupata maoni...
Wadau habari,
Karibuni kwa biashara
Sisi ni mafundi wa furniture ambazo zinatumia material za epoxy/resin zikichanganyika kitaalam na mbao na kuleta mvuto .
Tunapatikana maeneo ya makumbusho...
Habari ya Mfungo ndugu zangu Wakristo na Waislamu.
Nina tani zaidi ya 10,000 za zao la Soya natafuta mteja wa 'Bulk' yaani mzigo mkubwa.
Mzigo upo Lusaka, Zambia.
Nimeambatanisha sifa zake...
Habari Wakuu.
Leo nataka tuangalie mambo machache ambayo kila mwenye gari anaweza kuyafanya mwenyewe(DIY) ili kuhakikisha gari yake inatumia mafuta vizuri na hivyo kumpunguzia gharama.
Yafuatayo...
Habari zenu wanaJamiiForums,
Ninahitaji mkopo kwenye microfinance institution au personal kwa masharti nafuu na riba ndogo nataka kuboost biashara yangu.
Kama kuna mtu anafahamu taasisi hiyo au...
Tunza Nyayo na Taraji Coldpress Virgin Coconut Oil
Kipindi hiki cha mvua maeneo mengi yanatuamisha maji.. Ili kupita eneo moja kwenda lingine inakulazimu kukanyaga maji..
Hivyo ufanya miguu yako...