Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba.
Kwa kutumia mbinu...
Habari!
Nauza ubao wa kidijitali au screen ya matangazo inch 49, android OS, wa kusimamisha unacheza files zote kuanzia videos, GIFs, pictures etc.
Unafaa kwa matumizi ya dukani, supermaket...
Habari!
Tunauza portable car inverter kwa ajili ya kubadili Umeme wa DC kuwa AC kwa matumizi madogo kama kucha
ji laptop, kuchaji bluetooth speaker, ku run hair dryer au fan.
Kwa wale...
Habari!
Nauza smart keyboard cases complete na external wireless mouse yake kwa ajili ya iPad Pro 11/10.9 inch. Products ni mpya kabisa
Bei 140,000 TZS tu!
Tupigie 0712075845
Wakuu habari.
Nipo jijini Dar nilikuwa nahitaji dumb bells used au za mtumba au hata zile wanazotengeneza mtaani. Mpaka nakuja kuuliza humu ina maana sina pa kuanzia na naamini ntapata msaada...
Mahitaji kwa ajili ya kampuni
1. Namba za Nida (kila mtu yake)
2. TIN numbers (Kila mtu yake,TIN yoyote aliyonayo kwa jina lake)
3. Phone, email, (kila mtu yake)
4. P. O. Box zenu.
5. Mahali...
Habari zenu ndugu zangu wa jf 🖐, Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri.
Sababu iliyopelekea kuja...
Hakika splina ni TIBA bora ambayo itaweza kukuondolea matatizo au maradhi mengi katika mwili wako. splina liquid chlorophyll ina mchanganyiko wa zinc, selenium, vitamin E, vitamin C, vitamin...
Kwa wale mnaopenda mziki mzito, nauza Subwoofer tajwa hapo juu, haina shida yoyote, kwa wale mnaohitaji real punch with pure bass inayikita kifuani ,mashine hiyo hapo 200watts rms ,ina coil ya...
Ndugu zangu mimi sio mtumiaji wa Ipad ila nina uhitaji nayo wa dakika tano tu. Nahitaji kuchukua App yangu screenshot za App Store na baada ya hapo ndio mwisho wa matumizi yangu
Kama unayo basi...
Credibility ni muhimu sana katika mafanikio binafsi na kibiashara. Ili uweze kufikia mafanikio, katika muktadha huu, unahitaji kujenga uaminifu na heshima katika jamii au sekta fulani. Ili kujenga...
Habari wanajamii
Baada ya kuja na wazo la kuwaagizia watu bidhaa China kufeli
Kisha wazo wa kuwauzia Yuan za china na kuwasaidia manunu pia kufeli
Nimeona Sijaandikiwa kusaidia watu bali ichi...
Habari nauza simu aina tajwa hapo juu.
ipo kwa good condition , clean and kila accessory ipo pamoja including charge , air phone and mawasiliano ni. 0756294771....
Habari Jku.
Kwa wale waliofanikiwa kujenga na watakaojenga, baada ya nyumba kukamilika, huwa kunawekwa bomba za kukinga maji ya mvua, zinaitwa gutters.
Kipindi mvua inaponyesha hizi gutters...
Ndugu wanabodi,tunafundisha utengenezaji (ufumaji) was masweta,kofia,scarf nk kwa kutumia machine.Ada yetu ni tsh 300,000/=(laki tatu ).Mda Wa mafunzo ni miezi 2 lakini tunaweza kuongeza mwezi...
Monaco ni jina la brand ya saa inayojulikana sana na yenye umaarufu wa kimataifa. Inatengenezwa na kampuni inayoitwa TAG Heuer, ambayo ni moja ya watengenezaji wa saa wa hali ya juu zaidi duniani...
Habari,Nauza pikipiki yangu aina ya boxer 150 namba c na ipo katika hali nzuri ,yaani sitata inapiga nakuondoka
Bei ni mil.1 na laki 2
Nipo mkoani mbeya wilaya ya mbarali ,rujewa