Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Ipo ununio ya pili kutoka barabara ya ununio kwenda Boko, Nyumba zipo mbili kwenye Eneo moja na kila moja ina vyumba 2 vyote ni self, ina seble jiko na public toilet. Kodi yake kwa mwezi ni sh...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
ina vyumba viwili.sebule.jiko.choo na bafu.ina fensi.kodi laki mbili kwa mwenzi.kodi ya mienzi 6 0746316028.picha network inasumbua kuapload ikikaa sawa ntaweka
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Master na sebule jiko kodi 80,000 kwa mwezi inapokelewa miezi 6.......interested pm.. Kuna tank na magari ya maji yanapita nje
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa yule anayehitaji ofisi Kijitonyama. Ina hali nzuri na kiyoyozi inakodishwa kwa bei nafuu. Kwa maelezo zaidi Nitafute kwa namba hii 0719040659.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana JF! Natafuta nyumba ya kupanga ya vyumba viwili kimoja master ijiegemee maji na umeme iwe na fance.maeneo ya sinza,kijitonyama,mwenge,makongo juu au changanyike. Bei kuanzia 200000...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba ina vyumba 3,.master kimoja,jiko sebule,kuna maji na umeme na car parking,Geti.bei ni laki 2 kwa mwezi kodi kwa miezi 6. Mawasiliano 0712355025
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Nyumba ipo 16 toka feri ya magogoni na 150meters toka barabara kuu, ina vyumba 2 vikubwa pamoja na sitting room kubwa kama inavyoonekana , jiko, choo, na bafu, kisima kipo, umeme wa uhakika upo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Sabakher Wadau; Kuna Dogo Angu {wa kiume} Anakuja Hapo Piligrims College Kimara Kusoma! Sasa Kwa Gharama Za Bwen Siziwezi Ni 3.4M! So Naomba Dalali Jitokeze Hapa Au PM Unisaidie; 1. Chumba Kiwe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba Ipo safi ina vyumba vitatu na Kimoja master ambacho kina AC, Jiko safi sebule na mazingira mtulivu, maji yapo na tank la maji Juu, Ipo mabatini ya kutoka Africa sana, lami mpaka getini, bei...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Chumba seble na choo kuna fance na geti bei yake kodi kwa mwezi mmoja ni sh 150,000 na kiasi hiki unaweza kulipia kuanzia miezi 3,6 au mwaka pia Maelezo mengine na ukitaka kuiona piga...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
office ina vyumba vitatu ipo kwenye mazingiraa mazuri na salama ulinzi upo wa kutosha ipo karibu na City style Hotel hapa Dar es salam na pia karibu na kituo cha daladala cha Mawasiliano. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Nyumba ina chumba ambacho self na ina sebule na Jiko kwahiyo ni chumba self, sebule, Jiko na Choo LUKU inajitegemea na uzio upo na usalama wa KUTOSHA, maji yapo kila siku na ni ya DAWASCO, kodi...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Nyumba ziko mbili. Ya kwanza sh 350,000/= kwa mwezi na nyingine ni sh 300,000/=. Zote ziko ndani ya fence, self contained, Nyumba kubwa kiasi, room mbili za kulala,sebule,dining, jiko, stoo, zote...
0 Reactions
4 Replies
861 Views
Nyumba ipo Boko kituo cha chama au CCM, nyuma ya kanisa katoliki. Nyumba nzuri ndani ya wigo wenye waya za usalama, geti la kupendeza. Nyumba ina vyumba 4, one master bedroom, good parking lot for...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nyumba ina vyumba viwili, sebule Jiko, Choo, maji ya kutosha mpaka ndani, LUKU yako, Ipo ndani ya uzio na ipo kwenye compound (means upande) bei ni 350,000/ kwa mwezi maongezi yapo, Pia nyumba...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Xhjvjkbvgnkiffkrr
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Salaam ndugu zangu wana JF labda zaidi wa Mtwara! Nahitaji nyumba ya kupanga(nzima/yote), Mtwara mjini haswa karibu na maeneo zilipo Lodges/Guest houses . Mkataba wa miaka 3-5. Hata kama ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Imepangishwa. Asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nimepewa jukumu la kutafuta nyumba kadhaa Geita zenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kupanga: 1. Yenye walau vyumba 2-3 2. Lazima kuwe na 2 bathrooms 3. Fence na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom