Ni apartment yenye vyumba viwili ikiwemo master bedroom! Jiko, sebule kubwa, family toilet na nafasi kubwa ya kupaki Gari ndani ya fence! Nyumba inapatikana Makongo juu Kwa kodi ya 450k kwa mwezi...
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Mikocheni au Mbezi Beach kwa bajeti ya Sh. 1,600,000 per month.
Nipo tayari kulipa kodi ya mwaka.
Kama kuna mwenye kuwa na nyumba ambayo angalau ina vyumba 4...
Ina vyumba vitatu, kimoja Ni master+choo cha public+Sebule+Dining Room+jiko+
+maji +fensi na Parking ya gari ndogo 5+luku inajitegemea
Ipo Kigamboni km 1 toka kwenye pantoni
Bei: Tsh. Laki 3.5...
jumla ya vyumba ni vinne ,master Mbili
+Sebule+Dining Room+jiko+stoo
+tank maji +fensi na Parking
Ipo mikadi kigamboni
Bei: Tsh. Laki 5 kwa mwezi (malipo ni mwaka)
Dalali yangu ni mwezi mmoja...
Iko Tungi Kigamboni Km 2 toka darajani/Pantoni
Ina vyumba vitatu kimoja master
+Jiko la ndani na nje+Dining
+choo cha familia+kisima cha maji safi+tank
+Madirsha Ya Vioo +parking na fence...
Malumalu : Nyumba nzima
Gypsum: Nyumba Nzima
Maji: Yapo
Umeme: Upo
Bei: 150,000 kwa Mwezi
Hali Ya Nyumba: Mpya
Mahali : Kigamboni Tungi (Km 1 toka Ferry/kwa usafiri ni Dakika saba umefika)...
Habarini wanaJF kwa yeyote anayehitaji nyumba kuna nyumba ipo maeneo ya kimara korogwe dk 5 toka kituo cha mwendokasi aliyepo anatoka mwezi wa 1 tar 10 haina udalali ni chumba,sebule,jiko choo...
Wakuu, poleni na majukumu.
Kwa anayehitaji nyumba ya kupanga, maeneo ya Ngulelo kituo cha dala dala, nyumba ipo hatua 15 to 20 kutoka kituo cha dala dala Ngulelo, bara bara kuu ya Arusha to...
Nyumba ya kisasa parking, Kisima cha Maji safi Gari hadi getini, Ipo km 1 toka darajani/pantoni
Tsh. 500,000 kwa mwezi
Vyumba vitatu kimoja master
Sebule ,Jiko la ndani na nje, choo...
Ipo Ilala Mchikichini
100M kutoka barabara kuu
24 Security included kwenye kodi
24 Dawasco water included kwenye kodi
Gypsum
Tiles
Sliding windowa
A c
Hot water
Bei ni 1,100,000
Malipo ni...
Wadau;
Chumba cha kupanga kinatafutwa, maeneo ya Ubungo mpaka Kimara Mwisho
1. Chumba Kiwe Na Umeme Na Maji
2. Kisiwe Mbali Na Barabara
3. Kikipatikana chenye choo ndani au choo cha kujitegemea...
A storeyed house of two master bedrooms, garage, garden, kitchen, dinning , public toilet and fenced, has gate, located at mikocheni A near Engen petrol station quiet location.
Features
Full...
Chumba kimoja self-contain kinapangishwa. Kiko Bunju A, karibu na shule. kinafaa Bachelor, Spinster or young couple wasio na familia. Rent in Tzs 120,000 per month water and electricity inclusive...
Malumalu : Nyumba nzima
Gypsum: Nyumba Nzima
Maji: Yapo
Umeme: Upo
Bei: 150,000 kwa Mwezi
Hali Ya Nyumba: Mpya
Mahali : Kigamboni Tungi (Km 1 toka Ferry/kwa usafiri ni Dakika saba umefika)...
Ipo Makongo juu. In chumba kimoja cha kulala chenye choo na bafu, sebure, sehemu ya kulia chakula, jiko, choo cha wageni na vibaraza mbele na nyuma. Nyumba imezungushiwa uzio. Kodi tshs 500,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.