Sallam..wanajamvi nna deal motomoto mwenye uhitaji wa chumba master ipo maeneo ya kisasa Dodoma mjini ipo ndani ya fence na ina tiles ..gypsum na madirisha alluminium maji na umeme uhakika...
Nahitaji chumba cha kupanga kiwe katika hali nzuri, na salama maeneo ya ubungo. maji yawepo ndani na kiwe karibu na barabara. Kikiwa self itakuwa vizuri zaidi bajet yangu ni elfu50
Ina vyumba vitatu (kimoja master)[emoji117]choo cha public[emoji117]Sebule[emoji117]Dining Room[emoji117]Jiko[emoji117]Maji [emoji117]Fensi na Parking [emoji117]Luku Inajitegemea...
Nyumba ina pangishwa
Mahali:kimara stop ova
_______________________
Malipo: laki 3 kwa mwezi (malipo miezi 6)
2 bed rooms kimoja master
Tiles:yes
Gypsum:yes
Parking:yes
Maji na umeme full...
Salaam wana jamvi..nitumai mu wazima..nyumba nzima inapatikana dodoma mjini mteja wa haraka sana..nyumba ina vyumba vinne vitatu master kimoja cha kawaida..sebule moja..dinning room moja..jiko na...
Vyumba viwil na sebule.full tiles,ceilling board,luku inajitegemea...pangaboi vyumban kote na sebulen....maj dawasco ndan...parking ipo.lak tat kwa mwez 0713679865
Ina Vyumba vitatu kimoja kina choo chake
Sebule+dinning +Jiko+choo cha public+full tiles na gypsum
Maji safi+umeme+fence lenye geti
_______________________
Tank za kuhifadhi Maji
IPO kisiwani...
Picha zinajieleza zaidi
Ina vyumba vitatu chini, viwili juu +parking + maji +umeme, kila chumba na choo chake, dining na sebule kubea,stoo na bustani
Ipo Kigamboni Kibada km 10 toka Ferry...
Nyumba ya kisasa na yenye finishings ya hali ya juu inapangishwa Changanyikeni Mbuyuni, karibu na hostel ya Jesus Village. Ni KM 1.5 kutoka Chuo Kikuu cha Dsm na pungufu ya KM 1 kutoka Chuo Kikuu...
Yeah! Kulalamika mwisho 2016! Huu ni muda wa kuchacharika ewe mtanzania mwenzangu!
Fursa zipo kibao sana. Ila fikra zetu zimefungwa. Naziombea katika jina la Yesu Kristo fikra zetu zifunguliwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.