Leo tarehe 22/7/2017 nina shida hii hapa chini:
Natafuta chumba kikubwa kiwe self.
Au chumba na sebule self.
Au chumba na sebule visiwe self lakini wapangaji wasiwe wengi.
Maeneo hayo ya mwenge...
Hello,Kuna vyumba,Nyumba ya kupanga mtoni kijichi.
Numba/vyumba vipo ndani ya fensi,maji na umeme ya uhakika yapo.
Ipo yenye chumba(self) na sebule plus jiko, Kodi 150,000/= kwa mwezi.
Vyengine...
Wadau za asubuh. Nahitaji chumba na sebule+jiko kigambon ambapo patakua pazur. Dau ni 120,000 lakini inaeza kuongezeka kulingana na ubora wa nyumba. Maji, umeme visikosekane. Pia napendelea maeneo...
House 4 Rent TABATA Kinyerezi
2 Rooms
public Toilet
sitting Room
kitchen
Fence&Parking
slide windows
iko Tabata Kinyerezi Songasi
Price:200,000Tsh. Per month
cond of Pymnt: (6 month)
Ni...
Nina uhitaji wa nyumba ndogo tu ya chumba kimoja, sebule na choo tu (self contained)..
mambo mengine ninayo taka ni kama vile ikiwa na mita yake ya umeme peke yake itakuwa poa zaidi..
Au pia kama...
Natafuta chumba (master), sebule na jiko maeneo ya ubungo hadi kimara bucha. Luku iwe ya kujitegemea, na maji yawepo. Budget yangu ni 150k top, malipo kwa miezi sita.
Ipo kigamboni hii ni mpya
Bei: laki 2.5 (miezi 6)
Vyumba viwili kimoja master, jiko, , public toilet na sitting room,fence na parking
Luku na maji vinajitegemea
Ndani ya kompaundi kuna nyumba...
+3 rooms with 1masterroom
+ jiko
+public toilet
+ sitting room
+fence na parking
+slide windows
-Air condition
+vyumba vyote vina feni
Bei:500,000 (miezi 6)
Inajitegemea kwa kila kitu gari...
Bei: laki 5 (miezi 6)
+4rooms kimoja master,
+ jiko
+ stoo
+public
+toilet
+ sitting room
+fence na parking
Luku na maji vinajitegemea
Iko peke yake ndani ya geti
Mahali:kisiwani km 3 toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.