TSh350,000
Hizi apartment zipo 4 kwenye kampaundi moja apartment moja ndio ipo wazi ina vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master, sebule kubwa, dining, jiko na choo cha public maji dawasco masaa...
TSh400,000
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master, sebule, jiko lenye makabati, na choo cha public maji dawasco masaa 24 bei ni 400k x 6 ipo kimara baruti upande wa kushoto km unaelekea mbezi...
Apartments 6 zenye vyumba vitatu vya kulala zinapangishwa. Kila apartment ina master-bedroom moja, room 2 za kulala, kabati za ukutani za nguo, jiko, sebule,sehemu ya kulia chakula, na vibaraza...
Tunapangisha office/Stoo kwa ajili ya kuhifadhi bidhaa za maonyesho ya sabasaba.
Zipo jirani na uwanja wa maonyesho sabasaba na ulinzi wa mali zako upo.
kwa mawasiliano.
Banana Kitunda, Matembele ya kwanza kabla ya kuvuka Reli. 2.3kms toka Banana. 4.8kms from airport. 14.2kms toka City Centre.
Master Bedroom/Chumba cha Mgeni/Spacious Living Room/Public...
Habari za jioni wandugu..kwa anae hitaji nyumba mpya na ya kisasa ya kupanga Dodoma anitafute .nyumba ipo ndani fence ina maji na umeme pia ni mpya ina vyumba viwili master...
Habari JF,
Natafuta frame maeneo ya Dar sehemu iliyo changamka. Nataka kutoa huduma ya ketengeneza kompyuta na kutengeneza simu. Mwenye nayo au mwenye ambaye anajua mtu mwenye frame tafadhari...
Chumba kiko mbezi mwisho kodi elfu sitini kwa mwezi kulipa kuanzia miezi sita..
Chumba kina choo ndani tiles chini pamoja na gypsum bila kusahau maji na geti kubwa.
Masharti ya chumba...
Salaam,
Kama kichwa Cha thread kinavyojieleza napangisha nyumba nzima ipo Tegeta Nyaishozi,(sio Dalali)
Bei ni laki 4.5 kwa mwezi.
Maelewano yapo.
Nyumba ni kubwa...
Habari wana jamii
Nahitaji nyumba ya kupanga! Iwe ya kuanzia vyumba viwili kimoja kikiwa master itapendeza! Iwe na uzio na iwe ya kupendeza, maji ni muhimu!
Maeneo ni Kimara kuja mpaka ubungo, au...
Kodi frem ya biashara iliyopo maeneo ya msasani kimweri avenue + Maandazi Road opposite CCBRT
Lipia Elfu 80,000 tu kwa mwezi
Kwa Mawasiliano piga
0657 13 13 66
Banana Kitunda,Matembele ya kwanza kabla ya kuvuka Reli. 2.3kms toka Banana. 4.8kms from airport. 14.2kms toka City Centre.
Master Bedroom/Chumba cha Mgeni/Spacious Living Room/Public...
Habarini za saa hii wakuu..nina uhitaji wa chumba kimoja na seble.
Ningependa kiwe maeneo ya kuanzia kimara Kona hadi kimara mwisho. Au pia maeneo ya bara bara ya kwenda kwa mzee wa Upako kutokea...
Chumba self na sebule inapangishwa maeneo ya Mikocheni B jirani na shule ya Academic. Kodi 180,000/= kwa mwezi na malipo ni kuanzia miezi sita.
Mawasiliano: 0744218415
Mmiliki sio Dalali..
Habari wana Jf.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo
-Kimara
-Mbezi zote
-Africana mpaka bunju
-Goba
Budget yangu maximum ni 250,000/=
Mwenye nyumba maeneo hayo aje Pm yutajenge.
50,000 per month * 6 months.
kipo Gongolamboto,ulongoni A kwa Celtel
self room,maji free 24 hours,umeme luku wapangaji watatu.
chumba kiko katika hali nzuri sana.
wapangaji wasela watapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.