Looking for space, comfort for office rent,shops,residence and students hostels business? This is the perfect place for you
This place is in a Fantastic Location, located at Chang’ombe, Temeke...
Bei ni sh. Laki 7 ( laki saba) kwa mwezi ilipwe miezi 6 ( miezi sita)
Nyumba inavyumba v3 vya kulala
Ina master bedroom
Ina sitting room
Ina dining
Ina kitchen
Ina public toilet
Ina tiles
Ina...
Salaam mabibi na mabwana
Nawaletea hii hapa nyumba imetulia na nzuri sana ni ghorofa ndani ya geti
Sifa zake
-Tiles nyumba nzima
-madirisha ya vioo
-feni zipo ndani
-makabati standard ya...
Nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala, jiko sebule, fensi, huduma ya maji ya kuaminika na ya kujitegemea umeme inahitajika maeneo ya njiro au moshono, budget laki 2.5.
hapana madalali...
Wadau nimepata uhamisho natakiwa niripot mtwara tarehe 1vNov 2016 .Hivyo sina budi kuhama ikiwa bado miezi miwili kodi iishe kuanzia Nov 1. Hivyo basi ujiwa na kodi ya miezi miwili unirudishie...
Nyumba ina vyumba viwili vya kulala kimoja master, sebule na jiko, ni nzuri na ya kisasa, ni mpya haijawahi ishi mtu, ipo kimara mwisho umbali wa 1.8 km kutoka morogoro road, nyumba zipo tatu...
Sallam..napenda kuwakumbusha wana jamvi kwa uhitaji wa vyumba na nyumba za kupanga bado zinapatikana kwa bei nzuri tuu Dodoma mjini..popote upatakapo .Usihangaike wala kujichosha tupo kwa ajili...
Nyumba ina chumba, sebule na choo, ni nzuri na ya kisasa, ni mpya na haijawahi kuishi mtu, umbali ni dk 10 tu kutoka morogoro road, nyumba zipo tatu ndani ya uzio na kila moja inajitegemea maji na...
Upo Arusha na unahitaji chumba cha kupanga
Master ina
Chumba 1
Sebule 1
Choo ndani
Luku ni yako
Maji ya bomba yapo
Maji ya kisima yapo yanapandishwa kwa mota
Malipo 150,000/= (kwa mwezi)...
Nyumba mpya ya kisasa inapangishwa maeneo ya Mbezi beach- Africana. Vyumba3 self-contained kimoja master bedroom, sitting room, kitchen, public toilet, store, parking kubwa,Nyumba safi...
APARTMENT FOR RENT
Nyumba inapatikana bahari beach opposite na feza boys secondary school (Dar es Salaam MBEZI BEACH)
Nyumba ina vifutavyo
vyumba viwili (master moja na chumba kimoja cha ziada)...
Tsh500000
Hizi ni apartments 2 mpya kabisa,ina vyumba 4 vya kulala,viwili ni master,jiko na sebule kubwa sana,umeme na maji ni vya kujitegemea,nyumba IPO kimara stop over upande wa kulia ukitokea...
Tsh300000
Hizi apartment zipo 4 kwenye kampaundi moja apartment moja ndio ipo wazi ina vyumba 2 vya kulala HAKUNA MASTER, sebule, jiko na choo cha public maji dawasco masaa 24 bei ni 300k x 6 ipo...
Chumba kipo mwenge, near TRA, bei ni 50,000 kwa mwezi, ni kuzuri sana, uzio upo, usalama wa kutosha, ukubwa wa chumba ni wakiasi, ni kidogo kwa vingine ndio mana ni 50k, so hakihitaji mtu mwenye...
House 4 rent
TSh300,000
Hii ni nyumba ambayo inajitegemea,IPO moja tu kwenye kampaund,INA vyumba vitatu vya kulala,vyumba viwili ni master,sebule kubwa jiko na dining,umeme na maji ni vya...
HOUSE 4 RENT
TSh250,000 - KIMARA MWISHO
Hii apartment anatoka MTU mwisho wa mwez huu,ni vyumba viwili vya kulala,kimoja wapo ni master,sebule jiko,IPO kimara. Mwisho upande wa kulia ukitokea...
TSh400,000
Hii nyumba inajitegemea yenyewe kwenye fensi ipo mbezi njia ya Goba ina vyumba 3 vya kulala vyumba vyote ni master bedroom, na choo cha public, sebule kubwa, dining room, jiko kubwa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.