Nyumba inapatikana wilaya ya ilala.
Eneo ni Kivule (msongola)
Njia unapitia KITUNDA
Ina vyumba vitatu (1self contained)
Ina jiko, sebule, na public washroom.
Eneo LA kiwanja ni 25*22 (meter)...
Kwa anayehitaji.
Location : Chamazi Magengeni
Bei : 120k kwa mwezi
Malipo : Kuanzia miezi minne
Maji : Bure
Umeme : Mna share wawili
Nyumba ipo ndani ya ukuta.
Salaam..
Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Mikocheni, Dar. Muhitaji ana familia so inahitajika iwe ni ya vyumba viwili, sebule pamoja na jiko.
Muhimu: Isiwe mazingira ya uswazi na bei...
House 4 Rent Kigamboni
[emoji117]4 Rooms with master room
[emoji117] public Toilet
[emoji117]sitting Room and dining
[emoji117]kitchen
[emoji117]Fence&Parking
[emoji117]slide windows...
Nyumba ipo Mikocheni B Dar es Salaam
Ina vyumba kumi (10) inaweza tumika kwa makazi au Office
Full AC vyumba vyote
Ina parking kubwa
Ipo ndani ya Fence, Garden nzuri
Bei ni USD 2000 kwa mwezi au...
Habari wadau
Kuna mdogo angu anapangisha nyumba ya vyumba vitatu vya kulala,sebule kubwa,choo cha public na master, dining na jiko.Nyumba inajitegemea iko peke yake iko goba center karibu na...
Apartment inapatikana GOBA, njia panda ya kwenda SALASALA (mtaa wa maghorofani)
Ziko apartment 6 kwenye compound
Imebaki apartment moja ya chini
Ina vyumba vitatu (1self contained), jiko LA...
Nyumba ni nzuri na ya kisasa, kila kitu kipo kinachofanya iitwe ya kisasa, uzio mkubwa na amani kwa sana, vyumba vitatu vya kulala kimoja master, jiko kubwa lenye makabati, dining, sebule kubwa...
salaam,
Nyumba inapatikana kitunda.
Km 3.5m kutoka NYERERE ROAD (old pugu road)
Details
Nyumba ina vyumba vitatu (kimoja master)
Ina tiles na gypsum
Ina leseni ya makazi na pia ipo kwenye zoezi...
Habari zenu wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala na sebule maeneo ya Arusha mjini. Bajeti haizidi 200,000/= tshs.
.
...
Nyumba inapangishwa Ubungo (kibo) kituo cha kwanza cha mwendokasi kama unaelekea kimara, kutembea ni dakika nne tu toka kituo mwendo kasi, ni mita chache tu toka kituoni, ziko mbili kwenye...
Natufa chumba master na sebure maeneo ya mikocheni,mbezi beach,mwenge, Kijitonyama,
Makumbusho na msasani
Maji yawepo, na umeme wa kujitegemea . isiwe karibu na msikiti wala kanisa,kisiwe cha...
Apartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room...
Apartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room...
Chumba Sebule na Choo ndani.
Tiles, gypsum, Maji ya dawasco, ndani ya fensi & Umeme Luku.
Tshs 150,000/Mwezi, Miezi 6 inatakiwa.
0675107182
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu nakuja dodoma kwa kipindi cha miezi 3. Nahitaji chumba angalau nipunguze gharama za maisha.
Budget yangu ni laki moja (100k) kwa mwez.
Sifa za chumba nachohitaji
- Choo cha ndani...
Location; Tabata Mwananchi
#Vyumba vitatu
#Viwili Master
#Ndani ya geti
#Parking
#Store
#Kitchen
#public toilet
#Full Ac
#Dak 3 hadi main road
#full perving
Bei ni Tsh 500,000
Term of payment 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.