Mahali: Kifuru mwanzo mgum jirani na stend mpya ya Mbezi Luis
Vyumba bado Vipya ko havina kipengele
Vyumba ni viwili yani sebule na chumba
Self container kwa kila mpangaji
Umeme kila mpangaji...
Apartment ina vyumba viwili, sebule na jiko. Chumba kimoja ni master.
Iko kwenye compound ya nyumba 3. Kuna geti na parking. Barabara inapitika.
Umeme unajitegemea.
Kuna matank ya kutunza...
Natumai wote wazima.
Apartment nzuri zinazojitegemea (Vyumba 2 vya kulala, Sebule,Jiko,Choo) zinapatikana Kimara na Mbezi/MOROGORO Rd.
Pamoja na Nyumba (kubwa) za pekeyake zipo hizo na nyingine...
Nyumba self contained four bedrooms inapangishwa morogoro kihonda kwa chambo jirani kanisa na stendi kuu ya mwendokasi wa SGR. Umeme, fence, maji vipo. Nyumba ina tiles gipsum and aluminum...
Ina partitions mbili kubwa
Choo ndani
Luku yako ipo nje
Maji yapo
Parking ipo
Office ipo ada estate opposite na dar free market pale kwenye maghorofa yaliyokuwa ya nhc, kodi 380,000 kwa mwezi...
Frem inapatikana UBUNGO kituo cha mabibo hostel inatizama barabara ya Mandela Sekunde 10 (kutoka barabarani)
ina eneo la kutosha upande wa mbele na pembeni kulingana na eneo husika kuwa na...
Ina fence na geti la kisasa
Ina vyumba vitatu (3) kimoja
ni Master bedroom
Inside public toilet na outside public toilet (choo cha mlinzi)
Stoo, Parking kubwa ya paving, Sebule, Dining na Jiko...
Hii nyumba ni kubwa ina vyumba vitano viwili ni self-contained ( ni vya juu) na vitatu ni vya chini pia ina public toilet ,seating room
kubwa, jiko na uwanja mkubwa wa kutosha Nyumba ipo...
Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti 1km kutokea Kibo complex na pia 1km kutokea nyuki sokoni.
Nyumba ina vyumba 2, sebule, dining, choo na bafu. Nje ina servant house ya vyumba viwili na mabanda...
Husika kichwa cha habari hapo juu nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa kwa Kodi ya shilingi 250,000 kwa mwezi.
Public toilet, siting room kubwa, master bedroom 2 kitchen kubwa.
Pamoja na colidol...
Nyumba nzuri na zina mvuto na mwonekano mzuri wa kupendeza zikiwa na vyumba viwli vya kulala, jiko, sebule na mahala pa kula.
Kodi TZS 750,000 kwa mwezi.
Kuziona piga simu au whatsapp...
Nyumba bora za ghorofani, zinavutia na za kisasa. Nyumba zipo eneo tulivu la mbezi juu, wapangaji wanne wa kwanza watapangishwa katika nyumba ambazo ukiwa sebuleni au katika varanda unatazama...
* Nyumba ipo nyuma ya sheli ya Lusana dakika 3 kufika hapo
* Vyumba Vitatu, kimoja kina choo ndani(MASTER)
* Sebule
* Jiko
*Tiles, slide window)
Umeme upo
Maji kuchota kisimani (Kisima kipo 30...
Habarini ndugu zangu..
Ninaomba tuwasiliane mwenye mwenye chumba cha kupanga maeneo ya mikocheni B, Chama au Msasani.
Chumba kiwe self (kikiwa na sebule itapendeza)
Maji uhakika..budget 150k...
A free-standing residential or can be used as an office is available for rent. The house has three an suits bedrooms, living room extended to dinning area, guest toilet, close-up kitchen and two...
Nyumba inapangishwa Gongo la Mboto Majohe, nyumba Safi ya kisasa, ina vyumba vi 4 na master 1, public toilet, fance ya ukuta. Mahitaji yote muhimu ya Umeme na maji yapo.
Kodi kwa mwezi ni 250,000/...
Ni office spacious, kuna partition mbili
Kuna choo kimoja ndani
Madirisha makubwa
Parking nje ipo ya kuweka gari
Location ni nyumba za Nhc opposite na Dar free Market
Kodi ni laki nne na nusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.