Mahali: Mbezi Beach Tanki Bovu
Kodi ya Mwezi: Tshs 200,000
Malipo ya Miezi: 3 au 6
Maji ya bomba/dawasa masaa 24, egesho la usafiri lipo Usalama wa kutosha, Uzio na fensi.
Maelezo zaidi: 0716442950.
NYUMBA INA SIFA ZIFUATAZO
1. INAVYUMBA 3
2.UMEME
3.MAJI
4.FENSI
#MALIPO
1.KODI 400,000 (LAKI NNE) KWA MWEZI. UNALIPIA MWAKA MZIMA.
2. MALIPO YA OFISI(UDALALI) 400,000/=
3. SITE VISIT 10000/=...
Mahali: Mbezibech Shule
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi
Nyumba ina vyumba viwili, choo cha public ndani, na Sebule.
Haina jiko ila ina kibalaza unaweza kutumia kupika.
Maji ya dawasa yapo, parking...
Chumba na Sebule, Choo cha nje.
Mahali: Mbezibeach Kwakomba.
Bei: Tshs 100,000 kwa Mwezi.
Ina: Fensi ns geti, Maji ya dawasa masaa 24, Parking ya Usafiri, Dakika nne kwa mguu hadi kituoni...
Big house for rent. Four Bed room (one is master),Seating room,Dinning room,Kitchen and Car parking.The house is in the fence with enough outside space plus outside toilet. Very near to tarmac...
Chumba masta pamoja na sebule.
Ipo ndani ya fensi, Maji ya dawasa, parking ipo na ipo jirani na kituo cha dalala dakika tatu kutembea..
Inakuwa wazi tarehe 1/5/2021
Wahi
Bei: Tshs 150,000/Mwezi...
Ina vyumba 3, umeme na maji yapo.
Ipo ndani ya fensi.
Kodi. Laki sita kwa mwezi na inalipiwa kwa mwaka mzima.
Kodi ya udalali: Laki sita.
Site visit, 10000.
Mawasiliano...
INAPANGISHWA NYUMBA ( APARTMENT )
Mahali: Kinondoni, Dar es Salaam
Bei: Tsh 600,000 kwa Mwezi,
Malipo: Kodi ya Miezi 6
FEATURES:
Nyumba Vyumba 2, Chumba kimoja ni Masta
Sebule.
Jiko.
Choo cha...
Nyumba ya Vyumba viwili, Chumba kimoja ni masta pamoja na sebule, jiko na choo cha wageni.
Mahali: Sinza
Bei: tshs 400,000 Kwa Mwezi
Eneo lina uzio na geti, Usalama wa kutoshsa, maegesho ya gari...
Nyumba nzuri ipo kwenye mazingira mazuri yenye maji ya dawasa Massa 24, Umeme Luku yake, pia ina uzio na geti.
Nyumba ina sifa zifuatazo:- Vyumba 2 ( Masta 1), Sebule, Jiko na Choo cha Wageni...
Chumba kimoja cha kulala pamoja na sebule.
Eneo: Mbezi Beach
Bei Tshs 100,000/Mwezi
Maji ya dawasa yapo masaa 24, Usalama Upo wa kutosha, Ipo umbali wa dakika 2 kutembea kwa mguu.
Tuwasiliana...
Chumba masta (Chumba kimoja cha kulala pamoja na choo chake)
Eneo: Mbezibeach
Bei Tshs 120,000/Mwezi
Maji ya dawasa yapo masaa 24, Usalama Upo wa kutosha, Ipo umbali wa dakika 5 kutembea kwa...
Chumba kimoja, Choo cha nje.
------------------------
Maji ya dawasa, Umeme Luku yakuchangia, Uzio na usalama Upo.
------------------------
Bei Tshs 50,000 Kwa Mwezi
Kodi ya Miezi 6...
Chumba na sebule, Choo cha nje.
Maji ya dawasa, Umeme Luku wawili, Maegesho ya gari ipo, Uzio na usalama Upo.
Bei Tshs 100,000 Kwa Mwezi
Kodi ya Miezi 6
Wasiliana nasi: 0686648630 | 0716442950
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.