Nyumba ya vyumba 3 self contained inapangishwa Kisota-Kigamboni barabaraya Damian do Amsi.
Nyumba imeungana na nyingine 3 ambazo zinatumia geti moja, kila moja ina mita yake ya luku ila maji...
Mahali: Mbezibeach Tangibovu
Bei: Tshs 150,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi mmoja kwa dalali ( 150000 )
Mawasiliano: 0686 648630
Chumba choo ndani na Sebule. Choo cha nje Kipo...
Chumba kinapangishwa kigamboni daraja la nyerere kodi elfu 60 mkataba miez 6 main road mpk kilipo ni mita chache sana
Umeme matumizi yako na bill ya maji 3000 kwa mwez
Haina udalali muhusika...
Kuna nyumba 3 znapangishwa karibu na mliman city.
1. Nyumba kubwa yenye room3 jiko na public toilet na sebule kubwa hii ni tsh 300,000/= kwa mwezi nahitaji kodi ya miez 6.
2. Nyumba yenye vyumba...
LOCATION-MBEYA MJINI(forest mpya)
Bei-200000/= per month
nyumba ina vyumba vitatu,ipo complete kila unachokijuwa wewe kipo .
mawasiliano:0747175984
muonekano wa inje huo hapo.
NYUMBA inapatikana KITUNDA, nyantira
Km 3.5 kutoka nyerere road (old pugu)
Nyumba INA chumba kimoja (self), sebule na jiko.
Ina tiles, gypsums na slides windows.
Maji+Umeme (24/7)
Iko ndani ya...
Kuna chumba cha kinapangishwa maeneo ya makongo karibu na chuo cha Ardhi,kizuri kwa wanafunzi wa vyuo
Kodi ya mwezi ni kama 50,000/= tu hakina udalali kwa wanafunzi wa vyuo kama Ardhi,Udsm,Ubungo...
Apartment zinapatikana KITUNDA.
Zipo apartment NNE ndani ya compound.
Apartment no. 1
Ina vyumba viwili (self-contained moja), jiko, sebule, store na public toilet.
Kodi kwa mwezi tzs 200,000/...
Chumba Choo ndani (Masta) na Sebule.
Maji ya dawasa/bomba, Umeme luku watatu.
Mahali: Mbezibeach Makonde
Kodi ya Mwezi: Tshs 100,000
Maelezo Zaidi: 0716442950
Nyumba inapangishwa kigamboni kwa sh. 300,000 karibu na petrosheni eneo la kwa msomali. Ina vyumba viwili vyote self contained, sebule, dinning room, choo Cha nje, jiko, umeme, maji, fensi pamoja...
Nahama kwenye hili jiji la Mwanza
Hivyo nitakuachia kila kitu cha ndani kwangu nilipokuwa nimepanga.... nyumba ina vyumba viwili Master moja na kawaida moja pia public toilet, ina jiko, sitting...
Chumba cha kupanga kinahitajika Tanga mjini, kiwe na maji na umeme, karibu na public transport, kikiwa self contained itapendeza zaidi
Karibu dm na maelezo yote ikiwezekana na picha kabisa
Nyumba inapangishwa 150,000 sebule kubwa chumba na choo ndani kodi miezi 6
ndani ya uzio
ipo kigamboni mikadi kutoka main road mpk nyumba ilipo ni meter 70 ipo pembezoni mwa beach ya mikadi
Nyumba (apartment) nzuri sana inapangishwa. Nyumba iko maeneo ya Kimara Korogwe, umbali 2kms kutoka Morogoro road, na sifa zifuatazo:
Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni masterbedroom)
Sebule kubwa...
3Bedrooms House
Plot Size - 600sqm
Price - Tshs 200 Milioni
Document - Titledeed
Mahali - Mbezibeach, Kwazena
Lovely 3bedrooms house built on plot size of 600sqm size founded in a good...
Frem,mabanda na eneo lipo ndan ya uzio
Linapangishwa
Frem mbili
Eneo ndani ya uzio
Mabanda yapo ndan ya uzio
Unaweza fanya biashara
Unayotaka wewe
Lipo bagamoyo zinga kwa mtoro
Lipo jirani...
Mahali: Mbezi Beach Makonde,
Kodi ya Mwezi: Tshs 120,000
Malipo ya Miezi: 3 au 6
Ipo karibu sana na kituo cha daladala, dakika moja upo kituoni.
Maji ya bomba/dawasa masaa 24, Uzio na geti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.