#Kigamboni city. Apartment for rent. Tsh 250,000/= tu Chumba kimoja Cha kulala ambacho ni Master. , ukumbi na jiko. Zipo nyumba 9 zinatumia geti moja kuu, pia Kuna ghorofa ambapo ground floor...
Call 0652 180 400 Kigamboni city apartments for rent. One Master bedroom, kitchen and hall. Price is 200,000 / = Tsh Per month. They depend on everything water and electricity.
Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala na kimoja ni master, Jiko, store, dining room, sitting room,,public toilet.. Mazingira mazuri.
Nyumba ipo Kigamboni Kisiwani.
0652180400
Kama unahitaji nyumba ya kupanga mkolani Mwanza hujachelewa.
Ni nyumba yenye chumba kimoja cha kulala(Master) na sebule(Ipo ndani ya Geti), vyumba ni vikubwa, unalipia 120,000 kwa mwezi(kuanzia...
Chumba kimoja cha kulala ambacho ni master,jiko, ukumbi. Na ndan Kuna Min supermarket inajengwa . zipo nyumba Tisa sehem moja. Mazingira mazur, zinajitegemea maji na umeme. Kodi ni 200,000/= Kwa...
Nyumba inapangishwa ipo kahama buswelu manispaa ya Ilemela ipo pembezoni mwa barabara itokayo buswelu kwenda Ilalila, ina vyumba vitatu, viwili master, public toilet ya ndani na nje ,sitting room...
Mahali - Bunju A
Kodi - Tshs 200,000
Maelezo Zaidi - 0742141467
Chumba masta, Sebule, Jiko.
Umeme luku yake, Maji ya dawasa, Fensi, Parking, Karibu Na kituo cha daladala.
Chumba Choo ndani ( Masta ), Sebule, Choo cha public ndani Na Jiko.
Kodi kwa Mwezi ni Tshs 250,000
Mahali goba, kwa awadhi
Umeme Submita yake, maji Dawasa, fensi geti, parking ipo.
Maelezo...
chumba na seble ni vzuri sana
gypsum board na tiles
rangi mpya
choo kizuri
madirisha mawil mawili seblen na chumbani
kina kodi ya miezi minne,alioko ndani ameamishwa kikazi anahama
unatembe dk 4...
Natafuta Nyumba Ya Kupanga Dar Es salaam.
VIGEZO:
1.Iwe Maeneo ya Magomeni Mapipa,Mikumi,Kanisani au Usalama
2.Nyumba Yenye Ngome(Iliyondani Ya Geti)
3.Chumba...
Hello Hello Dodoma
Hii hapa nawaletea kwenu.
FREMU Chumba cha biashara kizuri sanaaa.
Kipo Dodoma mjin katkat
Kina milango pande mbili
Panafaa kwa Ofis ama aina yeyote ya Biashara
Mfano.
_nguo...
Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa luguruni njia panda ya kanisa la KKT . Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and...
Chumba kizuri sana ndani ya geti
Bei ni 70k miezi sita
Una sub meter yako umeme
Ni sekunde kufika barabara ya lami
Choo mna share wawili
Wahi mapema
dm
Karibu na hotel ya moveck
Nyumba nzuri ya kupanga yenye vyumba 2(Kimoja ni master) ,Sebule kubwa ,choo cha public kwa ndani,Jiko kubwa na veranda lenye nafasi pande zote na iko ndani ya fence inapatikana eneo la Nzuguni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.