Room for Rent
The following
Kitchen & Living Room
Bedroom, Bathroom & Toilet
Others
Cupboard
Water Heating
Ceiling Fan etc
Room is for Bachelor's Only
Msasani Beach
Price Tsh 800,000 per...
Nyumba inapangishwa kimara Korogwe Kwa mkua njia ya kuelekea Tabata,
Ina vyumba 2 vyote master maji yana flow ndani
Ina sebule kubwa na jiko
Gypsum na tiles mpaka chooni
Kodi 200,000 kwa mwezi...
Habari wadau.
Appartment ya vyumba viwili vya kulala. Sebule jiko na choo inapangishwa maeneo ya tabata kisukulu. Ni 3km ukitokea Mandela Road EPZA ama TFDA office ubungo external.
1. Nyumba...
Ina vyumba 2 vikubwa self,
Ina maji ndani
Umeme
-Ukuta
-Eneo kubwa ndani ya uzio -unaweza kuweka bustani ya mboga,
-NYumba ni mpya kabisa.
-Eneo iliko ni nyuma ya RC/Shule ya msingi Ngaramtoni...
Pagale linauzwa Kigamboni Cheka ina vyumba vitatu kimoja ni master, jiko,sebule,dining. Ipo mita 300 kutoka barabara ya lami ukubwa 30 × 20
Bei:- million 25 maongezi yapo
Call/WhatsApp:-...
Natafuta nyumba ya NHC maeneo ya Upanga au posta mwenye uwelewa na hatua za kufata ili uweze kupata anijuze Tafadhali na bei pia ni shilingapi kupanga.
Lovely decorated apartment located at Kinondoni vijana, comes with one bedroom ( ensuite ), livingroom, Kitchen along with indoor shared toilet.
It includes security guards, parkingspace...
Chumba kipo Gongo la Mboto Maeneo ya Kaburi Moja Mwisho wa Lami. Kina choo ndani,kioo ndani ya geti , kina madirisha ya vioo,tailiz, feni ya juu na usalama upo wa kutosha.
Anayetaka aje...
Nyumba ina vyumba vinne,kimoja master,sitting room,dinning room, jiko,public toilet ndani eneo kuubwa unaweza kufuga.
Kodi laki mbili na nusu kwa mwezi,umbali wa dakika 5paka 8 kutoka main road...
NYUMBA inapatikana maeneo ya KITUNDA
Ina chumba kimoja, sebule na choo ndani.
Kutoka Banana unapanda gari za KITUNDA
Ina tiles na gypsum
Mazingira mazuri
Maji na umeme unajitegemea
Kodi kwa mwezi...
Nyumba ya kupanga yenye uzio wa ukuta,umeme ,maji na vyumba vitatu vyote master bed room inapangishwa Boma Ngombe karibu na chuo cha ufundi st Joseph mazungumzo yapo
Piha namba 0715407588
Nyumba Iko Kimara Suka - 1Km kutoka Morogoro road, kushoto ukiwa kama unakwenda Mbezi.
Sifa za nyumba:
Ziko mbili ndani ya fence 1
Vyumba 3 kimoja Master
AC mbili (Sitting room moja na master...
Habari wakuu
Kuna Room ya kupangisha Makulu- Oysterbay.
SIFA
1. Room ni self contained ( choo ndani)
2. Nje ina sehemu ya kibaraza, unaweza pika nje kwa jiko la mkaa, pia unaweza hifadhi...
Habari zenu
Natafuta room ya kupanga maeneo ya bunju karibu na stendi au mapinga karibu na shule ya baobab
Mwenye kufahamu naomba anisaidie au aniunganishe na dalal wa maeneo hayo asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.