Habari Wana jukwaa
Apartments ni mpya kabisa tayari zimekamilika
Mahali: KITUNDA, ( tumaini)
Ni seating room kubwa, chumba kikubwa na toilets
Ina
✓maji ya kujitegemea
✓ full tiles
✓ umeme wa...
Habari wanajukwaa,
Nyumba zinapatikana Kitunda
Karibu na shule ya secondary tumaini
Apartment bado ni mpya kabisa.
Huduma ya maji, umeme na usalama ni wa kutosha.
✓ apartments zipo 4
✓ Kuna zenye...
Nyumba kubwa sana Inapangishwa Mbagala kiburugwa ( Njia ya kwenda Kiwanda cha cement Camel) ipo barabarani kabisa
🟠Room 3 , 2 Master bedrooms
🟠 Jiko
🟠Public Toilet Ndani
🟠dining
🟠sittting...
Nyumba nzima inapangishwa maeneo ya mbagala sabasaba nyuma ya Tayma hospital mita10 kutoka stend ya mwendo kasi na kituoni
Sifa ya nyumba
1. Nyumba ina vyumba 6
2. Vyumba vya kulala 3 kimoja ni...
Habari ndugu zangu,
Nyumba inatafuta mpangaji, mpangaji amehama jana tar 04/Dec/2022.
Location-Kimara stopover
Kodi-450K per month
Ulipaji-Kila baada ya Miezi 6
Vyumba vi3 (Kimoja masters)...
Nyumba ipo Argentina karibu na kituo cha mwendo kasi gari inafika mpaka mlango jiko mnatumia watu wa wili na choo mnatumia watu waili maji yapo umeme kwa mwezi 20k unawaka 24h
FANYA BOOKING YAKO YA USAFI TUPIGIE SASA....[emoji337][emoji337][emoji337][emoji337] [emoji120] UTAPATA HUDUMA YA USAFI WA NYUMBA YAKO NA OFISI YAKO KWA GHARAMA NAFUU KABISA, USAFI WA:-...
Habari wakuu kuna Frem za biashara mtaa wa Masasi na Msimbazi jengo jipya zinapangishwa.
Gharama za frem ni Milioni 9 kwa mwaka pamoja na 500,000 ya udalali.
Frem hizi zinafaa kwa mtu mwenye...
Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano (500,000 Tsh) maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti.
Kinachopangishwa ni hiyo ghorofa ya juu. Ipo mtaa mzuri sana nyumba...
Kama kichwa kinanyojielezea nyumba ya vyumba vitatu vya kulala kimoja master sitting room, dining na jiko na Choo cha public nyumba ni mpya kabisa ina eneo kubwa la kulaza ata gari 4 na tenki la...
Nyumba inapangishwa Tabata shule.
Nyumba ipo ndani ya fensi ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, choo cha ndani, maji ya bomba.
Kodi laki mbili kwa mwezi
Call me 0747744895
Mnakaribishwa.
Ni Apartments zenye nyumba Nne za Ghorofa ( Up &Down ) Ndani ya Fence yenye eneo kubwa na lenye utulivu wa kutosha, Huduma zote muhimu (Maji ya Dawasco, Umeme na barabara inayopitika vizuri 300m...
Chumba na sebure vinapangishwa kinyerezi kabla ya kufika kabisa la Roma stand ya zamani unaingia ndani kidogo karibu na msikiti wa kimbekete na karibu na transfoma ni karibu na kituo Cha magari...
Habari wadau.
Vyumba vizuri vyenye furniture zake ndani vinapangishwa Ubungo Riverside.
Vyumba hivi vina kitanda 5 x 6 na godoro, meza za kusomea, sehemu za kuwekea vitabu ama vitu
Vyumba hivi...
Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa.
Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au...
Habari za mwaka mpya ndugu zangu ma GT.
Leo nawaletea habari nzuri, kuwa nina nyumba 3 nazipangisha KODI kwa mwezi ni shilingi 100,000/= tu.
Pia jinsi gani ya kilipia Kodi yako ya mwezi utachagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.