Rental house with 2 bedrooms, 2 bathrooms, paved compound, ample parking, wall fence, specious compound, located in a cool neighborhood within well developed area with good security in Block 41...
In Vyumba sita vya kulala Vyumba vitatu ni self contained vikiwemo Master na Chumba special cha wageni Ukumbi/sebule (Living room) Jiko Ukumbi wa kulia (Dining room) Store Sehemu Ya kuogea (Jumla)...
Apartment Inapangishwa
Nyumba: 2 ( 1 Self )
Eneo: Kigamboni-Kisiwani
Bei: Tshs 350,000 KwaMwezi
Muda wa malipo: 6 Miezi
Ina vyumba 2 (kimoja ni masta), Sebule, Jiko na choo cha wote. Maji yapo...
1. Chumba Sebule Choo ndani bila jiko.
--Maji dawasco, fensi & Umeme Luku.
--Bei Tshs 200,000/Mwezi
-- Piga 0675107182
Sent using Jamii Forums mobile app
Chumba na choo chake, Sebule na jiko.
Ina tiles, gypsum, maji ndani na fensi ipo.
Kodi laki 2 kwa Mwezi, malipo ya miezi 6 yanatakiwa.
Karibu 0742141467
Eneo: Skaska( Kituo Kimoja kabla ya Kufika Tegeta)
Uelekeo: Umbali wa dakika 7 kwa kutembea Kutoka kituoni
Bei: Tshs 200,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Ina Chumba Kimoja, Sebule, Choo ndani na...
Ina vyumba viwii vya kulala , choo cha ndani na nje. Ina jiko ,dinning na baraza ya mbele na jikoni. Nyumba inajitegemea mifumo ya maji na umeme.
Ipo ndani ya fence,bei ni 250000/= fixed. Ipo...
Chumba kuwe sehemu yenye usalama,
Eneo lolote, wilaya yoyote ndani ya Dar,
Kodi isizidi elfu 60 kwa mwezi.
Kama unacho tuma namba pm
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Nyumba inapatikana ukonga, Mombasa
Njia ya lami kuelekea mazizini.
(Kutoka stand mpaka kwenye nyumba ni mwedo wa dakika 5)
Maelezo.
Nyumba ina vyumba viwili (ikiwemo master moja)
Sitting room...
WANA JF,
no eneo zuri kwa makazi liko juu hakuna hofu ya mafuriko karibu na kituo cha magari yaendayo mjini kiujumla ni mahali salama kwa makazi being 100,000 kwa mwezi mawasiliano 0699 522471...
Habari za leo wanaJF,
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Tabata ama Mabibo/ au Segerea. Chumba kimoja tu. Kikubwa ni mazingira yawe rafiki kwa mtu kuishi.
Umeme uwe wa kujitegemea hata kwa...
Ipo Kinyerezi Mbuyuni ina vyumba viwili vya kulala, kimoja ni master, jiko, sitting room, ipo ndani ya fensi, maji yapo, kodi ni 250000, karibuni sana, mawasiliano 0782239344
NYUMBA INAPNGISHWA
Mahali: Goba center
Namba ya vyumba: nyumba ina vyumba vitatu(viwil self contained rooms), jiko, mahali pa kulia chakula na sebule
Umbali: Nyumba ipo Mita 500 kutoka barabara ya...
NYUMBA INAPANGISHWA
Mahali: Boko kwa mpemba
Namba ya vyumba: nyumba ina vyumba viwili (kimoja ni master bedroom), sebule, jiko ndani na nje, Choo cha jumuiya ndani na nje, stoo na mahali pa...
NYUMBA INAPANGISHWA
Nyumba Ina sebule, jiko, kabati, Choo na chumba kimoja.
Mahali: Tegeta kituo cha Namanga karibu na Rabininsia Memorial Hospital.
Huduma: Maji, luku binafsi, heater, DSTV na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.