Ni office kubwa, kuna partition mbili kubwa
Kuna choo ndani
Madirisha makubwa
Parking nje ipo ya kuweka gari
Location ni nyumba za Nhc opposite na Dar free Market
Kodi ni laki nne na nusu kwa...
Nyumba inapangishwa Gongo la Mboto Majohe
Vyumba vinne
Master 1
Sitting room
Dining room
Store
Public toilet
Parking kubwa
Uzio wa ukuta
Maji kisima.
Bei @200,000 kwa mwezi
Mawasiliano 0744756127...
Nyumba inayojitegemea inapangishwa
Iko-Dar-es-Salaam TZ
Mahali - Goba
Eneo - Tegeta
Nyumba mpya ya kisasa
Ya kifamilia kubwa
Yenye:-
Vyumba vinne vikubwa vya kulala vitatu kati ya hivyo ni...
Natafuta single room ambayo ipo standard
maeneo ya Moshono~Arusha kisiwe mbali na barabara kuu na kisiwe uswahilini
Kiwe na umeme na Maji
Budget yangu
Mwenye nacho Karibu Pm na picha.
Sent...
Habarini Wakuu,
Kama Kichwa cha habari hapo Juu Natafuta chumba maeneo ya Msewe, Ubungo, Mwenge, Sinza, Survei na yote karibu na maeneo tajwa hapo Juu.
Sitaki Kuwachosha sana Bajeti yangu ni...
Wakuu habarini, natafuta chumba self contained Dar es salaam. Maeneo ya ilala au magomeni so far the budget is up to 90k.
Kwa mwenye connection au chochote here is my contact 0759007696
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja ni 'master'), jiko, dining place iliyoungana na living room, pamoja na choo cha umma.
Ina ukuta na geti zuri. Fimbo za kisasa za mapazia utazikuta...
Kodi Tshs laki 3.5 Kwa Mwezi. Ipo ndani ya Fensi, Maji ya dawasa, Parking kubwa na luku yako.
Nyumba Ipo jirani na kituo cha daladala ( Kwa Mguu dakika 3 )
Tuwasiliane: 0686648630 au 0675107182
Chumba kimoja kinapangishwa.
Ndani ya fensi, choo nje (wanachangia wawili)
Bei: Tshs 100,000 kwa mwezi
Mahali: Mbezi Beach Samaki
Wasiliana: 0686648630 au 0675107182
Salaam,
Nyumba inapatikana Kimara (corner). Meter 300 kutoka Morogoro road. Inatumika kama nyumba ya kulala wageni.
Ina vyumba 10 (vyote ni master). Iko ndani ya fensi, Huduma zote muhimu zipo...
Nahitaji chumba cha kupanga
Location: Moshono au Njiro
Conditions: double self, umeme wa kujitegemea, kisiwe mbali na barabara
Budget: laki mbili (200,000/=)
Kwa yeyote atakae weza kusaidia kwa...
Nahitaji nyumba ya Kupanga Iwepo maeneo ya kimara yani kuanzia kimara mwisho kurudi maeneo ya town kwa maana ndani njia ya mwendokasi.
Iwe na vyumba viwili kimojawapo masters..maji na umeme wa...
Nyumba inapatikana TABATA, segerea
Ina vyumba vinne.
Vitatu kati ya hivyo ni self-contained na kimoja ni single
Ina jiko LA kisasa
Ina air conditions
Ina large parking spaces
Perving blocks
Rent: 1m
Heshima kwenu wakuu. Mwenyezi Mungu amenisaidia nimepata kazi Tanga hivyo yeyote anaefaham au anaweza nisaidia kupata nyumba maeneo ya Kange karibia na stendi mpya ya Mkoa asisite kunifahamisha...
*Nyumba zinapangishwa mwenge maeneo ya mliman city.*
Ni dakika 5 tu kutokea Mliman City.
1. Nyumba yenye vyumba viwili choo sittng room pamoja na jiko lake bei yake tsh 300,000/= kwa mwezi...
NYUMBA inapatikana kimara, stopover
Ina vyumba viwili (1self-contained)
Seating room, Kitchen (open) & public toilet
Maji na umeme unajitegemea
Kutoka Morogoro road ni dakika 8-10 (mwendo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.